Asante sana brother. Mkangaffu ina maana gani?Karibu kwenye familia ya MKANGAFFU
Nimechoka huko juu watu wanavyosema amepandikiza.
Wacha we hapo kwenye miezi 9 na kushusha ndo Kazi ipoWengi tu leo wamepata watoto , kupata mtoto sio habari ya kushangaza, ni just kuzagamuana tu miezi tisa ikipita mtu amashusha mzigo
Ujumbe kwa vijana wanaotafuta mapenzi ya kweli kutoka kwa binti.Ukitaka kujua upendo wa kweli upoje basi pata mtoto.
Hongera sana kwake🥂
Mleta uzi anaona kitu cha ajabu kwake.Wengi tu leo wamepata watoto , kupata mtoto sio habari ya kushangaza, ni just kuzagamuana tu miezi tisa ikipita mtu amashusha mzigo
Vijana wa kiume na wakike.Ujumbe kwa vijana wanaotafuta mapenzi ya kweli kutoka kwa binti.
😁😁😁😁😁Nikifikiria na mimi niliwahi kumpa mtu P2 nabaki kuwa mpole.
Usinicheke mkuu😁😁😁😁😁
Neno "mkangafu” hutumiwa zaidi katika ya Nyanda za Juu Kusini, kumaanisha ulanzi uliokaa na kuchacha zaidi, hivyo kuwa na kilevi kikali kuliko ulanzi mbichi. Ulanzi wa siku hiyo huitwa nyamtuto, lakini ukikaa siku moja au zaidi na kuchacha, huitwa mkangafu.Asante sana brother. Mkangaffu ina maana gani?
Akianza kusaka mtoto tumsapoti.Usinicheke mkuu
Asante sana kaka kwa ufafanuziNeno "mkangafu” hutumiwa zaidi katika ya Nyanda za Juu Kusini, kumaanisha ulanzi uliokaa na kuchacha zaidi, hivyo kuwa na kilevi kikali kuliko ulanzi mbichi. Ulanzi wa siku hiyo huitwa nyamtuto, lakini ukikaa siku moja au zaidi na kuchacha, huitwa mkangafu.
Ameshapata mtotoAkianza kusaka mtoto tumsapoti.
Shosee habariWacha we hapo kwenye miezi 9 na kushusha ndo Kazi ipo
Kua mpole kama paka mwizi bwasheeNikifikiria na mimi niliwahi kumpa mtu P2 nabaki kuwa mpole.