Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Babe na sisi tutafute wa kwetu sasaAmlee vizuri na kuwa mfano bora.
Babe na sisi tutafute wa kwetu sasaAmlee vizuri na kuwa mfano bora.
Story ya huyo dada naona hukuwai kuijua, na jinsi alikubaliana na hali ya kukosa mtoto, akakubali umri umeenda, haezi pata mtoto tena!Wengi tu leo wamepata watoto , kupata mtoto sio habari ya kushangaza, ni just kuzagamuana tu miezi tisa ikipita mtu amashusha mzigo
Haina kipingamizi.Tuwahi kabisa ili asianze kutuita ma-grands wake baada ya miaka mitatu.Babe na sisi tutafute wa kwetu sasa
🤣🤣🤣Haina kipingamizi.Tuwahi kabisa ili asianze kutuita ma-grands wake baada ya miaka mitatu.
Au natania?Maana tutaanza kumgombea kumbembeleza,kumlisha na kung'ang'ania kucheza naye.
Speaking from your experience. Au siyo?Ukitaka kujua upendo wa kweli upoje basi pata mtoto.
Hongera sana kwake🥂
2Speaking from your experience. Au siyo?
'Wanetu' wapo wangapi mkuu?
HakikaUkitaka kujua upendo wa kweli upoje basi pata mtoto.
Hongera sana kwake🥂
Wewe ni keNikifikiria na mimi niliwahi kumpa mtu P2 nabaki kuwa mpole.
Mimi ni me keWewe ni ke
Uko sawa kabisa acha tuingie kazini😁Au natania?Maana tutaanza kumgombea kumbembeleza,kumlisha na kung'ang'ania kucheza naye.
Hii ni kweli! Hata mimi huu mwaka umekua wa baraka sana kwanguHuu Mwaka vitu vingi vimewezakana..
Atukuzwe Mungu juu Mbinguni..