Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
nilifurahi sana tangu habari zienee! ila nilichokiona jana hakina uhalisia kabisa bora wangeendelea kuficha tu!Kwanini hujafurahi?
nilifurahi sana tangu habari zienee! ila nilichokiona jana hakina uhalisia kabisa bora wangeendelea kuficha tu!Kwanini hujafurahi?
Njoo unipikie supunilifurahi sana tangu habari zienee! ila nilichokiona jana hakina uhalisia kabisa bora wangeendelea kuficha tu!
Una hangover? Au unaongeza maziwa ya ka juniya! 😅Njoo unipikie supu
Nimetamani tu supu, hangover sijui hata ipojeUna hangover? Au unaongeza maziwa ya ka juniya! 😅
mtoto mzuri hujui hangover.. safi! unataka soup ya nini sasa?Nimetamani tu supu, hangover sijui hata ipoje
Kongoromtoto mzuri hujui hangover.. safi! unataka soup ya nini sasa?
umeona unipe adhabu kabisa sio? haya wacha nikakoke kuni nikupikie 😅Kongoro
Asante, nasubiriumeona unip adhabu kabisa sio? haya wacha nikakoke kuni nikupikie 😅
Mwambieni Wema Sepetu atahangaika sana kufanya Drama ili kuaminisha Watu kuwa ameweza kushika Ujauzito na Kuzaa.
Hatimaye mwenyezi Mungu ameamua kujidhihirisha wazi kupitia kwa aliyekuwa beautiful onyinye miaka ya nyuma na mrembo aliyependwa sana na watanzania.
Wema Isack Sepetu wakati wa huko nyuma aliwahi kusema alifanya makosa katika abortion aliyowahi kufanya miaka ya nyuma aliambiwa na madaktari hatoweza kubeba mimba.
Ila mwenyezi Mungu alivyo wa ajabu kamjalia mtoto wa kiume! Walio muita tasa leo nao wanaungana kucoment "congratulations " watasema nini sasa hawawezi kusema kasingizia mimba pembe la ng'ombe halifichiki?
Mimi Sweet16 naungana na waliofurahishwa na jambo hilo kumshukuru Mungu kwa ajili ya Wema Sepetu.
=======
Mwigizaji nguli wa filamu na Mwanamitindo, Wema Sepetu na mchumba wake Oscar Lelo ‘Whozu’ wameweka wazi kuwa wamepata Mtoto wa Kiume, habari iliyopokelewa kwa furaha kubwa na Mashabiki wao pamoja na Wadau wa burudani.
Wema na Whozu, ambao wamekuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa takribani miaka minne, walithibitisha ujio wa Mtoto wao leo Juni 13, 2026 kupitia kurasa zao za Mitandao ya Kijamii kwa kushiriki ujumbe wenye hisia na shukrani kwa Mungu.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Wema alichapisha picha ya mguu wa Mtoto huyo huku akiandika maneno yanayoashiria furaha na mshangao wa kuona ndoto yake ya kuwa Mama ikitimia.
Naye Whozu aliandika;“Sio kuwa tu wazuri sana mbele zake lakini ilimpendeza aonyeshe ukuu wake kwenye uso wa dunia kuwa makadirio ya Wanadamu hayawezi kushinda kudra zake…
Hakika Mwenyezi Mungu amejidhihirisha na kutupa kibali, Hongeraa Shunu wangu na Akhsanteni nyote mliokuwa mkituombea, Mungu Yupo na wanaomtumaini tusichoke kukesha tukiomba maana yeye ni mwenye huruma siku zote 12/6 #PUBLIC HOLIDAY.
”Kwa upande wa Whozu, huyu anakuwa Mtoto wake wa pili baada ya yule wa kwanza aliyempata na Tunda, huku kwa Wema Sepetu akiwa Mtoto wake wa kwanza, jambo ambalo limekuwa likisubiriwa kwa muda mrefu na mashabiki wake wengi.
Alichopost Wema Sepetu
View attachment 3606851
Alichoandika Whozu
View attachment 3606885
View attachment 3606887
Dar hakuna wanaume!Inasikitisha kijana kutokea Arusha ndio kaja kumtia mimba dada yenu hapo Dar kazi yenu kulamba lips matozi wa Kinondoni
Simple mathematics🤷♀️Mwambieni Wema Sepetu atahangaika sana kufanya Drama ili kuaminisha Watu kuwa ameweza kushika Ujauzito na Kuzaa.
Script imetengenezwa vizuri sana, Watu wameshalipwa na sasa inaenda hewani na najua Mipumbavu (Mipopoma) mingi tu itaamini kuwa ni kweli Wema Sepetu kazaa Mtoto kutoka katika Mbunye yake, ila wenye Akili tunajua alichokifanya ni sawa sawa na alichokifanya aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda Anita Annet Among (AAA) kwa kupandikiza Mbegu za Kiume za huyo Boya Whozu kisha zikapandikizwa kwa Mwanamke mwingine (kwa Makubaliano ya Malipo makubwa na Usiri mkubwa) na akaibeba na Siku ya kujifungua akamkabidhi Mtoto.
Anyways Kinafiki ngoja nami GENTAMYCINE nimpongeze Wema Sepetu kwa Kuzaa Mtoto kutoka katika Tumbo lake na Mbunye yake mwenyewe anayoimiliki kihalali.
Kwani huyu hakuzaa na Gardner?Lady Jay Dee nae asikate tamaa, hata kama umri unaenda kumtupa mkono, Janeth Jackson nakumbuka alipata mtoto akiwa kwenye 50s. Lolote linawezekana.
Hiki kitu nimejiuliza, kashkash za mimba kuanzia usoni, na ule uchungu unavyouma au labda kachoma sindano za mgongoni zile ....yaan hafanii kabisa🤔Na zile surgery zake inawezekanaje? ila hakufikisha hata week 32? mimba yake haimake sense labda kwa ambao hawaijui safari ya mimba! mwili haujabadilika kabisa watu wanatokaga labor mwili umechange mpaka sura! mtu ubebe mimba mwezi wa 2 ujifungue wa 6? kwenye photoshoot na manunu mimba kubwa sana ila kwenye msiba wa manunu hana mimba! juzi kata alikuwa club gani huko hakuwa nayo! mind u baby bumps zinauzwa! kupata mtoto ni baraka but painful truth is better than a comfortable lie!
Hahahaha😂😂😂...utaambiwa Una wivuuJana nimeingia instagram page zote ni yeye tu! nikatoka chap! maana ukiangalia hizo videos anavyorukaruka na tumbo ni kasheshe, kina jack wanalia yeye muhusika mkavu! utafute mtoto miaka yote hiyo uwe mkavu vile.. she's faking it! kama walipandikiza kwa mtu hapo sawa, maumivu ya uzazi sio vichekesho anavyofanya kule kama ana act movie lol..
Kuleta mtoto duniani ni nusu kufa, wao wanaleta drama bila rehearsal. Sindano ya mgongo hata mimi nilichomwa tena unaumwa si mchezo!Hiki kitu nimekuuliza, kashkash za mimba kuanzia usoni, na ule uchungu unavyouma au labda kachoma sindano za mgongoni zile ....yaan hafanii kabisa🤔
Hii nataka tu wazazi tuliojifungua normal tujadili..
Nimuonee wivu mtu sijawahi msogelea ntakuwa na kichaa! Kwa kuwa wameji expose wenyewe lazima wajadiliwe! Kujifungua kwake kumegeuka public holiday social platforms zote!Hahahaha😂😂😂...utaambiwa Una wivuu
Umepotelea wapi dona?Nimecheka, I miss you
Mi sitaki kuwa mnafiki yaan hili lidada nilitokea kulichukia kipindi cha maandamano, lilinikera mpaka basi yaan... wazazi wamepoteza watoto wao, liko pale linatema shit tu!🥲..Nimuonee wivu mtu sijawahi msogelea ntakuwa na kichaa! Kwa kuwa wameji expose wenyewe lazima wajadiliwe! Kujifungua kwake kumegeuka public holiday social platforms zote!