Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu na Whozu wabarikiwa Mtoto wa Kiume

Thubutu! Mimi nilipata kashikashi sababu niliongezewa njia.
Ila naona ambao wamejifungua kawaida hawajaongezewa njia hata kukimbia wanaweza siku hiyohiyo.
Hahaha inaumaga hatari! hivi kumbe wema kajifungua kawaida pia, nilijua kajifungua kwa C-section.
 
Itakua kawaida siunaona ajalala kitandani
Na zile surgery zake inawezekanaje? ila hakufikisha hata week 32? mimba yake haimake sense labda kwa ambao hawaijui safari ya mimba! mwili haujabadilika kabisa watu wanatokaga labor mwili umechange mpaka sura! mtu ubebe mimba mwezi wa 2 ujifungue wa 6? kwenye photoshoot na manunu mimba kubwa sana ila kwenye msiba wa manunu hana mimba! juzi kata alikuwa club gani huko hakuwa nayo! mind u baby bumps zinauzwa! kupata mtoto ni baraka but painful truth is better than a comfortable lie!
 
Na zile surgery zake inawezekanaje? ila hakufikisha hata week 32? mimba yake haimake sense labda kwa ambao hawaijui safari ya mimba! mwili haujabadilika kabisa watu wanatokaga labor mwili umechange mpaka sura! mtu ubebe mimba mwezi wa 2 ujifungue wa 6? kwenye photoshoot na manunu mimba kubwa sana ila kwenye msiba wa manunu hana mimba! juzi kata ailuwa club gani huko hakuwa nayo! mind u baby bumps zinauzwa! kupata mtoto ni baraka but faking it is worser!
Kama kweli amefanya hivyo basi hadanganyi watu anajidanganya mwenyewe.
 
Jana nimeingia instagram page zote ni yeye tu! nikatoka chap! maana ukiangalia hizo videos anavyorukaruka na tumbo ni kasheshe, kina jack wanalia yeye muhusika mkavu! utafute mtoto miaka yote hiyo uwe mkavu vile.. she's faking it! kama walipandikiza kwa mtu hapo sawa, maumivu ya uzazi sio vichekesho anavyofanya kule kama ana act movie lol..
 
Khaa! Mbona hukushangaa Nandy alivyokua mjamzito anatumbuiza jukwaani na tumbo lake anaruka anavyojisikia. Show leo wiki ijayo kajifungua.

Kivipi uone Wema ni mgumba hastahili kuzaa wakati yeye ni mwanamke?
Kama kulia ashalia sana, sasa amepata mimba alie tena nini?

Sio wote wanaozaa basi wachakae wawe vibonge! Badiliko nililomuona nalo ni kitumbo kimebaki
 
Khaa! Mbona hukushangaa Nandy alivyokua mjamzito anatumbuiza jukwaani na tumbo lake anaruka anavyojisikia. Show leo wiki ijayo kajifungua.
issue ya nandy haikuibuka ghafla hivi kama ya huyu miss tz, halafu huyo nandy alikuwa anaimba na tumbo lake lakini hakuwa anaruka hivi! wema anajirusharusha mpaka kitandani katoka kushusha engine!
Kivipi uone Wema ni mgumba hastahili kuzaa wakati yeye ni mwanamke?
Kama kulia ashalia sana, sasa amepata mimba alie tena nini?
inashangaza sana, especially hizo video za tumbo, halijakaa kama la kweli! anyways tuyaache hayatuhusu! ukweli utajitenga!
 
issue ya nandy haikuibuka ghafla hivi kama ya huyu miss tz, halafu huyo nandy alikuwa anaimba na tumbo lake lakini hakuwa anaruka hivi! wema anajirusharusha mpaka kitandani katoka kushusha engine!

inashangaza sana, especially hizo video za tumbo, halijakaa kama la kweli! anyways tuyaache hayatuhusu! ukweli utajitenga!
Mimba sio matangazo kwamba dunia yote ijue.
Navyojua mimi ukihisi mtu ni mjamzito hutakiwi hata kumuuliza labda awe ni mtu wako wa karibu sanaaaa na hata kumuuliza unajifungua lini ni mwiko.

Mimba haitangazwi sababu haijifichi sasa wewe upo Mwanza, mimi nipo Lindi, Wema yupo Dar hiyo mimba tungeionaje wakati yeye hajajipost?
 
Ni sahihi ila hakuna mimba ya hivyo!
 
Back
Top Bottom