Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu na Whozu wabarikiwa Mtoto wa Kiume

Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu na Whozu wabarikiwa Mtoto wa Kiume

Nchi ya kiwaki sana hii, Wema kuzaaa imekuwa kama habari ya maana kwa taifa zimaa.. Ndio maana CCM inaendelea kujipigia tu, nchi ya matukio ya kisng hii
 
Mwaka jana nimeshusha mmoja na mwaka huu nashusha mwingine.
Ha ha haa 😆
Naanza kuhisi nimeongopewa. Gen-Z na millennials hamuziwezi kazi hizo.
Mama zetu walipiga show hizo.
Karibu kila familia kulikuwa na waliofuatana mtindo huo.
Nyie chakula kikuu chips yai daily ...
Kama kweli hongera mkuu.
 
Ha ha haa 😆
Naanza kuhisi nimeongopewa. Gen-Z na millennials hamuziwezi kazi hizo.
Mama zetu walipiga show hizo.
Karibu kila familia kulikuwa na waliofutana mtindo huo.
Nyie chakula kikuu chips yai daily ...
Kama kweli hongera mkuu.
Sijakufunga kamba! Kweli hiyo
 
Neno "mkangafu” hutumiwa zaidi katika ya Nyanda za Juu Kusini, kumaanisha ulanzi uliokaa na kuchacha zaidi, hivyo kuwa na kilevi kikali kuliko ulanzi mbichi. Ulanzi wa siku hiyo huitwa nyamtuto, lakini ukikaa siku moja au zaidi na kuchacha, huitwa mkangafu.
Kwetu Dar mkangafu ni gari bovu alianza kulitumia Babu mpaka mjukuu analitumia.
 
Niliwahi kusema huyu wema sepetu, hajapata kidume tu, akipata kidume kikamkunja vizuri, akapiga bao la milenia, mbona mimba asubuhi tu 😂🤣

Nikatoa na ofa mshtueni aje kwangu, uzuri kabahatika kwa whozu
 
Sasa atafeel ule uchungu wa wazazi kwa watoto wao!...maana dada alikuwa anaropoka huyu!

Sitaki kuongea mengi mlimshuhudia mwaka Jana!
 
Back
Top Bottom