Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu na Whozu wabarikiwa Mtoto wa Kiume

Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu na Whozu wabarikiwa Mtoto wa Kiume

Mi sitaki kuwa mnafiki yaan hili lidada nilitokea kulichukia kipindi cha maandamano, lilinikera mpaka basi yaan... wazazi wamepoteza watoto wao, liko pale linatema shit tu!🥲..

Yaan Mimi bado sijaridhika namuomba aende labour apate ule uchungu wa uzazi, mpaka ajutie ule utopolo wake! Akitoka hapo atakuwa na heshima na mtoto wa mtu

Kujifungua mtoto it's not a joke...sio haya mazingaombwe yake ya power mabula sasa hivi!
Yani mimi hata sijawahi muwaza wala kumchukia, namchukuliaga kama ana disorder fulani! Kwenda kumfunulia uchi huyo dogo tayari nilimuona sio mtu wa kawaida!

Yeye ata asipoenda labor ni yeye ila kufake hivi anawafanya wengine wajinga anakosea na itamka sana! Angeweka wazi tu kuliko kuwa fake! Mtoto ni dhahabu huwezi tu kuleta maigizo ya namna hiyo!
 
Kuleta mtoto duniani ni nusu kufa, wao wanaleta drama bila rehearsal. Sindano ya mgongo hata mimi nilichomwa tena unaumwa si mchezo!

Kwahiyo wema kajifungua kawaida? Anavyojuaga kudeka angekuwa anajichekesha chekesha na hilo wigi lake mara wanja! Labor unatoka kama kichaa hata wigi unaona linakubana pumzi angekuwa kashaling’oa! Uchungu unauma nyiee!
Tena umenikumbusha...unakumbuka miaka kadhaa kazushiwa ana miwaya, akaenda kupima, akawa anachomwa sindano, anatudolishia insta live? Kwa jinsi alivyotoa ukunga na uoga asingekuwa hivi kwenye kujifungua!
 
Yani mimi hata sijawahi muwaza wala kumchukia, namchukuliaga kama ana disorder fulani! Kwenda kumfunulia uchi huyo dogo tayari nilimuona sio mtu wa kawaida!

Yeye ata asipoenda labor ni yeye ila kufake hivi anawafanya wengine wajinga anakosea na itamka sana! Angeweka wazi tu kuliko kuwa fake! Mtoto ni dhahabu huwezi tu kuleta maigizo ya namna hiyo!
Sasa unataka atangaze kuwa kafake seran? Impossible

Sema muda utaongea tu, kila kitu kitakuwa wazi
 
Nchi ya kiwaki sana hii, Wema kuzaaa imekuwa kama habari ya maana kwa taifa zimaa.. Ndio maana CCM inaendelea kujipigia tu, nchi ya matukio ya kisng hii

Unakereka kwa vitu vya kipumbavu sana ambavyo kimsingi hujalazimishwa kufurahia/kuungana na wanaofurahia

Hili ni jukwaa la celebrities
 
Unakereka kwa vitu vya kipumbavu sana ambavyo kimsingi hujalazimishwa kufurahia/kuungana na wanaofurahia

Hili ni jukwaa la celebrities
acha ku quote watu kipumbavu na kujibu kipumbavu, unajua uzi ulianzia jukwaa gani ?
 
acha ku quote watu kipumbavu na kujibu kipumbavu, unajua uzi ulianzia jukwaa gani ?
IDGAF uzi ulianzia jukwaa gani

Acha makasiriko ya kipumbavu kwa mambo yasiyokuhusu direct,ambayo unaweza kuyapuuza
 
Wooote mnaokataa wema kujifungua, uhalisia wa mimba ya wema, mmeshuhudia huyo dada akizaa na kumkabidhi wema mtoto? Nani alete photo walopiga juzi Wema akiwa flat tummy tuamini....bila evidence ni chuki tu kwa mwenzenu....skuwahi kumkubali toka tanga tanga yake na vijana anaowazidi umri, mara sjui chawa, simkubali hata kidogo ila nasemajeeee nimefurahia yeye kupata mtoto kama binadamu mwenzangu
 
IDGAF uzi ulianzia jukwaa gani

Acha makasiriko ya kipumbavu kwa mambo yasiyokuhusu direct,ambayo unaweza kuyapuuza
malayaaa weweee popote unapo ona comment pita kushokooo, usiniletee juaji wako wa seng
 
Back
Top Bottom