Miss Tanzania 2009 aswekwa rumande

Miss Tanzania 2009 aswekwa rumande

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
408
Habari nilizozipata punde kutoka mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni zinasema kuwa mnyange wa Tanzania wa mwaka 2009 anayeshikilia taji leo amepandishwa kizimbani pamoja na mtu mwingine wa kiume anayesadikiwa kuwa boy friend wake kwa tuhuma za kupiga na kujeruhi wote wameshindwa kutimiza masharti ya dhamana na wametupwa lupango.
 
Dah,
kweli maswala ya ugomvi hayafai.
Leo ni ljumaa huyo kutoka ni hadi Jumatatu.

Kweli kabisa mwache akajifunze adabu huko lupango angalau hadi j3 atakuwa amepata fundisho.
 
Dah,
kweli maswala ya ugomvi hayafai.
Leo ni ljumaa huyo kutoka ni hadi Jumatatu.

Kutoka jumatatu kwa kapuku wa vingunguti...lakini mrimbwende huyo usishangae kumuona bagamoyo wikiendi akila raha na pedeshee afu jumatatu alfajiri anarudishwa ukonga kwa ajiri ya kuletwa mahakama kwa dhamana rasmi!!

Haya huwa yanatokea sana, labda uwe mgeni jijini ndo utalala segerea mpaka jumatatu!!
 
Dah,
kweli maswala ya ugomvi hayafai.
Leo ni ljumaa huyo kutoka ni hadi Jumatatu.

Boyfriend wake ndio kaumia tena, Huyo miss Jpili anakula valentine na mapredezee mjini, na jamaa asubiri dhamana baada ya kuisha valentine.
 
Miss Tanzania 2009 ni Miriam Gerald!!

tanzania.jpg
 
Hii habari tayari ipo hapa....Mod iunganisheni na ile nyingine!!
 
miss tanzania na na mai boifrend wake walala segerea baada ya kukosa zamana mahakamani kinondoni</p>
 
hawa mamiss wa siku hizi jamani haka kashindano kangefutwa tu
 
hii inamaana anko lundenga ameshindwa kuwalea katika maadili hawa mamis au ni hulka yao, wanaliabisha taifa
 
Back
Top Bottom