bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
nani, wema sepeto??
heeeeeeeee binamu jamani wee ndo upo ulimwengu upi kwani kumbe bora mie wamo....ni Miriam (somebody)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani, wema sepeto??
hawa mamiss wa siku hizi jamani haka kashindano kangefutwa tu
..Muongooo! udaku tu!Weka kilichojiri tafadhali!!!!!!!!!!
miss tanzania na na mai boifrend wake walala segerea baada ya kukosa zamana mahakamani kinondoni</p>
naona zina ukweli coz naona wameitoa hiyo habari kwenye first page ya gazeti la habarileo.Mmh,habari hizi ni za kweli?
na wee ndo mwingine....
Odemba miss tz 2009??
swali la kichokozi: nanyi mtaanza lini?Binti huku Zenj hakuna mashindano ya hao Mamiss visusio!
Binti huku Zenj hakuna mashindano ya hao Mamiss visusio!
basi huko hamna visusio!!! (sipo kwenye IL yako hahaaaaa)