Miss Tanzania 2009 aswekwa rumande

Miss Tanzania 2009 aswekwa rumande

02_10_c4fhp4.jpg
Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald akiongozwa na Polisi kuingia katika mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Dar es Salalaam jana alikpofikishwa pamoja na rafiki yake Kennedy Victor kusomewa mashitaka ya kushambulia na kuharibu mali. Miriam alipelekwa mahabusu kwa kukosa mdhamini. (Picha na Mroki Mroki).

Ina maana hukuona kama hii kitu imeishapostiwa? cross posting aaaaaaaaaaaaagrrrrrrrrrr
 
Ina maana hukuona kama hii kitu imeishapostiwa? cross posting aaaaaaaaaaaaagrrrrrrrrrr

tuliza boli umesoma post za thread hii zinasema nii au hadi wakaangalie thread unayotaka wewe haya tuambie iko thread gani s...........t
 
kakosa mzamini??!!!!!!


astagafilllulahhhhhhhhhh!!!!!!!
 
Hawa watoto wadogoo wanawapa misifa baada kuwa miss....pesa hawajawahi kushika na ile gari ndio kabisa.,....wanafanya wanavyotaka!!umri pia sijui au ulimbukeni wake masikini!!!ngoja akajifunze kwanza!!
 
Jamani hawa mamiss wetu nao,nidhamu zero kabisa..ifike wakati mamiss wachaguliwe kwa kuangalia na sifa za ziada kama vile nidhamu n.k
 
Mimi kinachonishangaza ni huyo Victor alikuwa busy sana na Miss Tz 2008,sasa hivi yupo busy na huyu KULIKONI!!
 
huyo miss nae ni mtu kama wengine akileta jeuri swekandani, ye anadhani kina babu seya na TID mambo yalianza kama mchezo mwisho ooohoooo wakalinyea debe kiukweli!
 
Habari nilizozipata punde kutoka mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni zinasema kuwa mnyange wa Tanzania wa mwaka 2009 anayeshikilia taji leo amepandishwa kizimbani pamoja na mtu mwingine wa kiume anayesadikiwa kuwa boy friend wake kwa tuhuma za kupiga na kujeruhi wote wameshindwa kutimiza masharti ya dhamana na wametupwa lupango.

Huyu hakimu ni kiboko hana mchezo na vijana mastaa ambao wanafanya mambo mabaya na kujifanya wako juu ya sheria ! Huyu si yule aliyempiga ndani TID kweli!?
 
Ndo raha ya kutoa umiss kwa vigezo vya chupini. hivyo wanawapata akina SEMANAO kisha wanadhani watawafunda adabu ilhali mshipa wa noma wameuweka rehani

Nadhani BASATA wangeifungia kamati ya lundenga kwa japo mwaka mmoja kisha wajisafishe na wawekee sheria maridhawa ya vigezo vya binti kuwa miss. au lifutwe tu hili shindano
 
Tuliwahi lalamika hivi taji la miss TZ ni mradi wa Lundenga na wenzake? Huyu alipita kwa kigezo cha kufuli au kujiexpress? Inatia aibu vimiT
 
Kwa ufupi miss wa Tanzania hapatikani kwa vigezo vya ubora vinavyotakiwa bali ni kwa namna ambavyo unaweza kuwafurahisha viongozi wa hiyo kamati andaaji kimapenzi. ukipata habari toka kwa binti ambaye atakuwa ameshiriki haya mashindano hasa kwa miaka ya karibuni mtindo ndiyo huo. Hebu watanzania wenzangu tujadili ka ufupi mamiss wa nyuma angalao kuanzia Happiness Magesse rudi chini na wale after her??? Inatia aibu binti unakuwa mlimbwnde kimaumbile lakini tabia ni zero.
 
wazimu mtupu walahi
macentipede hawa akina lundenga lazima tuwahabarishe wajue namna ya kufunga zipu zao mbele za mabinti zetu
 
Back
Top Bottom