Miss Tanzania 2009 aswekwa rumande

Hujanitumia valentine wishes!

kwani wewe jina lako la ubatizo ni hilo?? hata siku yenyewe bado lakini mbona una visa wewe?

Masa jamani hawa walimbwende wa huku kwetu hawaishi mikasa!!! yule wa kbla ya huyu alikuwa bangi nibangue, huyu nae kaja na yake....na Lundenga alijigamba kuwa safari hii nidhamu mbele
 
Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald akiongozwa na Polisi kuingia katika mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Dar es Salalaam jana alikpofikishwa pamoja na rafiki yake Kennedy Victor kusomewa mashitaka ya kushambulia na kuharibu mali. Miriam alipelekwa mahabusu kwa kukosa mdhamini. (Picha na Mroki Mroki).
 
Yule mwingine wanasema ni Lesbian ana"du" wenzake
 
Mhhhhh namtamani ningechanganywa naye mahabusu
 
Yule mwingine wanasema ni Lesbian ana"du" wenzake

kheee yupi sasa yule cha bangi?? (amejikoboa zimebaki lips tu ndo nyeusi jamaniiii agrrrrrrrrrr watto hawa bwana aaaaaaaaaaah)
 
kheee yupi sasa yule cha bangi?? (amejikoboa zimebaki lips tu ndo nyeusi jamaniiii agrrrrrrrrrr watto hawa bwana aaaaaaaaaaah)

Na wee unakuwa kama umeingia mjini jana! Yule chotara wa Kirusi
 
hivi wewe lakini mbona unanitendea haya Masa!!!!!! hhaaaaaaa kunifanya nicheke mwenyewe.....lol!!!

Angalia chuchu hizo! Mungu amsaidie asianze dose za kichina
 
Yupi huyo ndiye yule alikuwa anauza simu kwenye duka la almaruhumu pedeshee nonino pale Mwanza karibu ,haya chezani na live wire
 
Na wee unakuwa kama umeingia mjini jana! Yule chotara wa Kirusi

yeomiiii yule wa miaka ile???? Mungu pishia mbali kaanza lini katabia.....

Angalia chuchu hizo! Mungu amsaidie asianze dose za kichina

hahaaaaaaaaaaa macho yako yamegota hapo hapo........hujaona alivokasirika aaaaah!!!

we chiboko!!!
 
Ama kweli

"Well-behaved women seldom make history." --Laurel Thatcher Ulrich
 
Yupi huyo ndiye yule alikuwa anauza simu kwenye duka la almaruhumu pedeshee nonino pale Mwanza karibu ,haya chezani na live wire

hahaaaaaaaaa duh mapya haya!!!! Masa fatilia kwa karibu
 
Nyepesi nilizopenyezewa zinadai katoboa matairi ya baiskeli ya YoYo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…