Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald akiongozwa na Polisi kuingia katika mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Dar es Salalaam jana alikpofikishwa pamoja na rafiki yake Kennedy Victor kusomewa mashitaka ya kushambulia na kuharibu mali. Miriam alipelekwa mahabusu kwa kukosa mdhamini. (Picha na Mroki Mroki).
Ina maana hukuona kama hii kitu imeishapostiwa? cross posting aaaaaaaaaaaaagrrrrrrrrrr
Mimi kinachonishangaza ni huyo Victor alikuwa busy sana na Miss Tz 2008,sasa hivi yupo busy na huyu KULIKONI!!
Habari nilizozipata punde kutoka mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni zinasema kuwa mnyange wa Tanzania wa mwaka 2009 anayeshikilia taji leo amepandishwa kizimbani pamoja na mtu mwingine wa kiume anayesadikiwa kuwa boy friend wake kwa tuhuma za kupiga na kujeruhi wote wameshindwa kutimiza masharti ya dhamana na wametupwa lupango.
nani, wema sepeto??
uko tanzania??nani, wema sepeto??