Kweli wana panga matokeo mapema
mtoto wake halali kabisa....huoni macho yale muheshiwa mtupu
Mrembo mmoja sijajua jina lake amejibu swali kwa kiingereza kibovu mithili ya kile kilichozungumzwa na wagombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2011.Aliulizwa swali kuhusu umuhimu wa sekta ya utalii katika uchumi wa nchi,akasemaaa...The tourism sector contributes income about 16%...(aka-pause kidogo i.e.alisahau jibu,si unajua wamekariri?) then akaendelea...contributes income about 16% "exchange foreign"....yaani chochote alichosema kwain kizungu ni broken mwanzo mwisho
Jamani nilikuwa harusini ndio narejea home now, nani katwaa taji la miss TZ?
Mkuu hii itawapa moyo wengine mwakani wataongea kichina kabisa.
hutaki bodyguard?
nenda kanawe uso..unasinzia mkuu..
kachukua taji Dada mmoja hivi toka ufaransaJamani nilikuwa harusini ndio narejea home now, nani katwaa taji la miss TZ?
Yani hadi zawadi ni kwa mafungu!!
Miss Temeke aliandaa Le big show? Au nani wa ccm aliandaa? Maana Mtemvu kafanana na you know ha ha ha ha.
haa hivi unamfahamu kiwatengu ama unamsikia.....ubodigadi wake n wa kutiliwa mashaka.