Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Kweli wana panga matokeo mapema

yule mhindi nahis wamemnyima kuogopa maneno ya watu km mwaka 2007alivyoshindaga richa adhia ila kiukweli alijibu swali vzr hata richa mwaka wake nakumbuka alijibu swali vizuri sana ndo maana alipewa
 
Wamenyima miss Tanzania wa Ukweli wakampa namba mbili wake Siti Abasi Mtemvu wakamuacha miss Tanzania Lilian From Arusha. Selfish
 
Miss Temeke aliandaa Le big show? Au nani wa ccm aliandaa? Maana Mtemvu kafanana na you know ha ha ha ha.
 
mtoto wake halali kabisa....huoni macho yale muheshiwa mtupu

siti abas mtemvu ni mtoto wa abas mtemvu mbunge wa temeke ccm kashinda ila haki haijatendeka kama bunge la katiba,wanachagua miss tz kwa sababu tu ni mtoto wa mbunge!lol kachagua english anaongea kifarasa
 
Hakyanani kabisa wamechakachua, inawezekana kuna mzee pale alipewa ahadi siyo bure
 
Mrembo mmoja sijajua jina lake amejibu swali kwa kiingereza kibovu mithili ya kile kilichozungumzwa na wagombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2011.Aliulizwa swali kuhusu umuhimu wa sekta ya utalii katika uchumi wa nchi,akasemaaa...The tourism sector contributes income about 16%...(aka-pause kidogo i.e.alisahau jibu,si unajua wamekariri?) then akaendelea...contributes income about 16% "exchange foreign"....yaani chochote alichosema kwain kizungu ni broken mwanzo mwisho

Nimemsikia nikashangaa kwa nini hakuongea kiswahili anachokimudu. Pia alisema tourism employs about 200 youths.
 
Mkuu hii itawapa moyo wengine mwakani wataongea kichina kabisa.

hahahaaaa itakua shughuli maana kila mtu atakuja na chake wengine hawataeleweka wamengea lugha gan na watajitetea et wamenena kwa lugha....ttth
 
true...siti mtemvu wamembeba tu...haya mashindano hayana mvuto tena wanayachakachua sana
 
Miss Tanzania wangu ni Lilian from Arusha na mbili ni Doreen molel from Singida na Tatu ni Jihan na Siti namba nne nk.
 
Back
Top Bottom