Baraka255
Member
- Jun 25, 2014
- 73
- 14
Jmn wadau wapenda ulimbwende kazi kwenu ndo muda wenyewe
http://theinnovationhouse.blogspot.com/2014/10/miss-tanzania-2014-na-kasoro-zake.html?m=1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jmn wadau wapenda ulimbwende kazi kwenu ndo muda wenyewe
Yule aliyeforce kuzungumza kifaransa kawa wangapi?
Kwa hili naomba nisichangie maana nina hasira naweza tumia maneno magumu nikala ban ya nguvu
Huyo Sitti Mtemvu kumbe ndiye aliyetumia lugha ambayo haikuwepo kwenye option? Alistahili kuwa disqualified kwa kutumia lugha nje ya kiswahili na kiingereza.Ingekuwaje kama angetumia kichina?Sura nzito kajibu out of question kwahyo kifaransa ndo kime mpa ushindi wenye vigezo wote wameachwa miss Tanzania nowdays haina mvuto kila mwaka inazidi kupoteza mvuto kubebana kila mahali Ludenga aachie na wengine walete mabadiliko mapya
Kwa hili naomba nisichangie maana nina hasira naweza tumia maneno magumu nikala ban ya nguvu
Yan nlicheka sana jana
yani aliongea broken french,wasiojua wakaona kaongea bonge la french.eti kashinda mtu mwenyewe kilazaYule aliyeforce kuzungumza kifaransa kawa wangapi?
Huyu bikra anaelekea kufeli kama ana blog au anasomwa na watu wengi. ..jamaa bias halafu ana ufagio flani yaani kuna watu anawababaikia. .maana alianza kuwafagia mamiss ambao anawajua au kisa wajanja wake kina Le mutuz au pinto wana mkono wao. ..huyu sitti angekuwa ana uhusiano labda na basha wake Sebastian ndege jembe angefagia sana ila kwakuwa sitti ni kama sitti basi watu wamepanic kwakuwa hana kujuana na mapimbi wengi mjini. ...mwenye nacho huongezewa!mji wote kimyaaaa. ..uncle hashim katupunguzia kelele. .safi sana
Unampa hongera huyo mshindi bz amestahili au kwa kuwa ametokea ukoo wa panya..
Guys seriously huyu ndio kawa Miss Tanzania?? maana hadi Mbutananga anasema anaweza kuja dar 2015 akashiriki na akashinda kama hali ndio huyi
Namba 3 ndio mshindi wangu halali hao wengine siwatambui