Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Sura nzito kajibu out of question kwahyo kifaransa ndo kime mpa ushindi wenye vigezo wote wameachwa miss Tanzania nowdays haina mvuto kila mwaka inazidi kupoteza mvuto kubebana kila mahali Ludenga aachie na wengine walete mabadiliko mapya
Huyo Sitti Mtemvu kumbe ndiye aliyetumia lugha ambayo haikuwepo kwenye option? Alistahili kuwa disqualified kwa kutumia lugha nje ya kiswahili na kiingereza.Ingekuwaje kama angetumia kichina?
 
Yan nlicheka sana jana

Huyu bikra anaelekea kufeli kama ana blog au anasomwa na watu wengi. ..jamaa bias halafu ana ufagio flani yaani kuna watu anawababaikia. .maana alianza kuwafagia mamiss ambao anawajua au kisa wajanja wake kina Le mutuz au pinto wana mkono wao. ..huyu sitti angekuwa ana uhusiano labda na basha wake Sebastian ndege jembe angefagia sana ila kwakuwa sitti ni kama sitti basi watu wamepanic kwakuwa hana kujuana na mapimbi wengi mjini. ...mwenye nacho huongezewa!mji wote kimyaaaa. ..uncle hashim katupunguzia kelele. .safi sana
 
Wanajamvi Wasalaam!
Kwa wale tusio jua kusoma tunaweza kufurahi na kuelewa tunapo pata wasaha wa kuona picha!

Na wale ambao hawakupata wasaha wa kuona tukio la Jana kupitia TV si vibaya tukapata wasaha kuona kupitia picha mnato japo sijaweka maelezo!

Kwakweli binti wa mtemvi aliibuka kidedea huku akiwaacha watu wakinung'unika!Muda mwingine ushindi unakuwa surprise kwa wengine hivyo ndivyo ilivyo kuwa!

Hongera sana binti wa Mtevu!

Hapa chini nimewawekea wanajamvi picha muone wenyewe kwasababu kuna watu wanasema kuona ni kuamini!
Karibuni wana jamvi

Picha kwa hisani ya Millardy Ayo.com na Michuziblog!
 

Attachments

  • 1413102975466.jpg
    1413102975466.jpg
    68 KB · Views: 537
  • 1413103012063.jpg
    1413103012063.jpg
    61.6 KB · Views: 496
  • 1413103066296.jpg
    1413103066296.jpg
    26.9 KB · Views: 469
  • 1413103107764.jpg
    1413103107764.jpg
    18.1 KB · Views: 470
  • 1413103137337.jpg
    1413103137337.jpg
    19.6 KB · Views: 470
  • 1413103167194.jpg
    1413103167194.jpg
    18.2 KB · Views: 465
  • 1413103212311.jpg
    1413103212311.jpg
    27.5 KB · Views: 461
  • 1413103283838.jpg
    1413103283838.jpg
    23.4 KB · Views: 464
  • 1413103333703.jpg
    1413103333703.jpg
    26.8 KB · Views: 445
  • 1413103364015.jpg
    1413103364015.jpg
    22.2 KB · Views: 459
  • 1413103684498.jpg
    1413103684498.jpg
    15.9 KB · Views: 438
  • 1413103703604.jpg
    1413103703604.jpg
    24.6 KB · Views: 441
  • 1413103867183.jpg
    1413103867183.jpg
    21.3 KB · Views: 442
  • 1413103897383.jpg
    1413103897383.jpg
    27 KB · Views: 453
  • 1413103951319.jpg
    1413103951319.jpg
    23.2 KB · Views: 451
  • 1413103994216.jpg
    1413103994216.jpg
    21.1 KB · Views: 462
  • 1413104027363.jpg
    1413104027363.jpg
    17.2 KB · Views: 455
  • 1413104061179.jpg
    1413104061179.jpg
    25.9 KB · Views: 470
Picha zinaendelea wana jamvi
 

Attachments

  • 1413104263410.jpg
    1413104263410.jpg
    33.9 KB · Views: 426
  • 1413104293883.jpg
    1413104293883.jpg
    12.1 KB · Views: 418
  • 1413104316075.jpg
    1413104316075.jpg
    12.8 KB · Views: 429
  • 1413104337153.jpg
    1413104337153.jpg
    13.9 KB · Views: 420
Huyu bikra anaelekea kufeli kama ana blog au anasomwa na watu wengi. ..jamaa bias halafu ana ufagio flani yaani kuna watu anawababaikia. .maana alianza kuwafagia mamiss ambao anawajua au kisa wajanja wake kina Le mutuz au pinto wana mkono wao. ..huyu sitti angekuwa ana uhusiano labda na basha wake Sebastian ndege jembe angefagia sana ila kwakuwa sitti ni kama sitti basi watu wamepanic kwakuwa hana kujuana na mapimbi wengi mjini. ...mwenye nacho huongezewa!mji wote kimyaaaa. ..uncle hashim katupunguzia kelele. .safi sana

Kwa hiyo jana kulikua hakuna kupendelea au matokeo kua yamepangwa eti
 
Picha zinaendelea
 

Attachments

  • 1413104667772.jpg
    1413104667772.jpg
    14.3 KB · Views: 446
  • 1413104782465.jpg
    1413104782465.jpg
    18.6 KB · Views: 439
  • 1413104812176.jpg
    1413104812176.jpg
    18.7 KB · Views: 443
  • 1413104834859.jpg
    1413104834859.jpg
    17.1 KB · Views: 441
  • 1413104863326.jpg
    1413104863326.jpg
    15.2 KB · Views: 439
Tangia mwanzo wamemwandaa mshindi miss world tutakua wasindikizaji tu all the best huko sijui nani atambeba kuwa mshindi
 
Unampa hongera huyo mshindi bz amestahili au kwa kuwa ametokea ukoo wa panya..

Mkuu nimempa hongera sababu kwa vigezo vya majaji walio kuwepo ndio katimiza na kupewa ushindi! Mimi nilitaka mtu fulani ashinde lakini hakushinda hila si vibaya nikatoa hongera kwa aliye shinda japo sikutaka ashinde!
:thumbup:
 

Attachments

  • 1413105558263.jpg
    1413105558263.jpg
    15.7 KB · Views: 416
  • 1413105599312.jpg
    1413105599312.jpg
    18.9 KB · Views: 406
  • 1413105629611.jpg
    1413105629611.jpg
    16.4 KB · Views: 385
  • 1413105654921.jpg
    1413105654921.jpg
    18 KB · Views: 381
  • 1413105698305.jpg
    1413105698305.jpg
    34 KB · Views: 392
  • 1413105727877.jpg
    1413105727877.jpg
    19.8 KB · Views: 384
  • 1413105749371.jpg
    1413105749371.jpg
    17.1 KB · Views: 386
Abasi Mtevu akieleza furaha yake
 

Attachments

  • 1413106310818.jpg
    1413106310818.jpg
    76.4 KB · Views: 362
Guys seriously huyu ndio kawa Miss Tanzania?? maana hadi Mbutananga anasema anaweza kuja dar 2015 akashiriki na akashinda kama hali ndio huyi

Namba 3 ndio mshindi wangu halali hao wengine siwatambui

OMG HUYO KWENYE PICHA NDO MISS TANZANIA WA SASA😱
 
Back
Top Bottom