brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
Mrembo mmoja sijajua jina lake amejibu swali kwa kiingereza kibovu mithili ya kile kilichozungumzwa na wagombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2011.Aliulizwa swali kuhusu umuhimu wa sekta ya utalii katika uchumi wa nchi,akasemaaa...The tourism sector contributes income about 16%...(aka-pause kidogo i.e.alisahau jibu,si unajua wamekariri?) then akaendelea...contributes income about 16% "exchange foreign"....yaani chochote alichosema kwa kizungu ni broken mwanzo mwisho
Ndo mana niliacha kuangalia haya mashindano toka wakati wa rich adhia...walinitifua,,,na siji kuangalia..total waste of time...mfyuuuu