Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Mrembo mmoja sijajua jina lake amejibu swali kwa kiingereza kibovu mithili ya kile kilichozungumzwa na wagombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2011.Aliulizwa swali kuhusu umuhimu wa sekta ya utalii katika uchumi wa nchi,akasemaaa...The tourism sector contributes income about 16%...(aka-pause kidogo i.e.alisahau jibu,si unajua wamekariri?) then akaendelea...contributes income about 16% "exchange foreign"....yaani chochote alichosema kwa kizungu ni broken mwanzo mwisho

Ndo mana niliacha kuangalia haya mashindano toka wakati wa rich adhia...walinitifua,,,na siji kuangalia..total waste of time...mfyuuuu
 
.
Nimefatilia comment za watu nimengudua watanzania wengi sana wana wivu!!!!

Nawewe ulivyokuwa unamsema kaka yako vibaya kuwa anakuombaomba kumbe unamuonea wivu sababu kasoma!!!
 
Kwanza ni mtu mzima sana...pili characteristics za good leader sio mambo ya health and education tatu jihad ndo mshindi wengine mavi matupu nne kamati ya miss tz hawana jipya bora hata wakajiunge na bongo movie..memaliza
 
Huyu bikra anaelekea kufeli kama ana blog au anasomwa na watu wengi. ..jamaa bias halafu ana ufagio flani yaani kuna watu anawababaikia. .maana alianza kuwafagia mamiss ambao anawajua au kisa wajanja wake kina Le mutuz au pinto wana mkono wao. ..huyu sitti angekuwa ana uhusiano labda na basha wake Sebastian ndege jembe angefagia sana ila kwakuwa sitti ni kama sitti basi watu wamepanic kwakuwa hana kujuana na mapimbi wengi mjini. ...mwenye nacho huongezewa!mji wote kimyaaaa. ..uncle hashim katupunguzia kelele. .safi sana

muuza sura we kweli mwanadaslam!!!
site senta ofisi ni mtu aliposimama.....!!!
 
Naona miss Tanzania 2014 kwa mbali ana kitambi ndogo
 
ndo mshindi
Only in Tanzania. Kitendo cha huyo binti kutumia lugha ambayo haikuwa kwenye option za lugha kilitosha sana
kumdisqualify kwenye shindano. Eti ndiye mshindi namba moja redd's miss tanzania 2014!!!!!!!!!!!!!!! Kumbe vichaa wako wengi sana huku nchini.
 
nilichogundua miss tz n madudu matupu...nkajua vigori watamwaga kisw cha haja...kumbe wapiii wote elingshi yenyewe ugoko!

Hivi miss world...wachina,wafrance,wareno nk huwa wanaongea kiingereza...jamani tuaxhe kukariri!

hafu nimegundua kuwa..
bila kigori "kufunuliwa" papuchi yake...harambi kituuuu!
 
nilichogundua miss tz n madudu matupu...nkajua vigori watamwaga kisw cha haja...kumbe wapiii wote elingshi yenyewe ugoko!

Hivi miss world...wachina,wafrance,wareno nk huwa wanaongea kiingereza...jamani tuaxhe kukariri!

hafu nimegundua kuwa..
bila kigori "kufunuliwa" papuchi yake...harambi kituuuu!
kiingereza ndio lugha kuu ya mawasiliano wanapokuwa kambini miss world....so ni muhimu miss TZ wawe wanazungumza fluent english vinginevyo kule kambi ya miss world watanuka midomo tu
 
Kamati ya REDDS ivunjwe na 1st runner up apewe ushindi. Haiwezekani mtu aliyeongea Kifaransa lugha ambayo haikuwa kwenye orodha apewe ushindi. Halafu mbaya kabisa hakuna aliyeyoa tafsiri ya alichoongea. Haki haikutendeka. Why would the judges do this? Akajaribu kufanya hivi kwenye relevant country aone kitakachomtokea.
 
Back
Top Bottom