Mrembo mmoja sijajua jina lake amejibu swali kwa kiingereza kibovu mithili ya kile kilichozungumzwa na wagombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2011.Aliulizwa swali kuhusu umuhimu wa sekta ya utalii katika uchumi wa nchi,akasemaaa...The tourism sector contributes income about 16%...(aka-pause kidogo i.e.alisahau jibu,si unajua wamekariri?) then akaendelea...contributes income about 16% "exchange foreign"....yaani chochote alichosema kwa kizungu ni broken mwanzo mwisho
Waliokuwa mlimani city wataelewa Kuwa mshindi alishajulikana kabla hata ya mashindano kuanza
.
Nimefatilia comment za watu nimengudua watanzania wengi sana wana wivu!!!!
Miss Tanzania wangu ni Lilian from Arusha na mbili ni Doreen molel from Singida na Tatu ni Jihan na Siti namba nne nk.
Hata huyo lily inoder kupita arusha mama yake alihonga sana
Picha zake zilikuwa kila kona na mambo mengine naomba niyaacheHebu fafanua kidogo mamii
Picha zake zilikuwa kila kona na mambo mengine naomba niyaache
Huyu bikra anaelekea kufeli kama ana blog au anasomwa na watu wengi. ..jamaa bias halafu ana ufagio flani yaani kuna watu anawababaikia. .maana alianza kuwafagia mamiss ambao anawajua au kisa wajanja wake kina Le mutuz au pinto wana mkono wao. ..huyu sitti angekuwa ana uhusiano labda na basha wake Sebastian ndege jembe angefagia sana ila kwakuwa sitti ni kama sitti basi watu wamepanic kwakuwa hana kujuana na mapimbi wengi mjini. ...mwenye nacho huongezewa!mji wote kimyaaaa. ..uncle hashim katupunguzia kelele. .safi sana
Only in Tanzania. Kitendo cha huyo binti kutumia lugha ambayo haikuwa kwenye option za lugha kilitosha sanando mshindi
je mapele king j'habite a minjingu tu le monde swaye la bien vienyu de atown.
Merci monsieur........tu le monde bujhee bujheee..........
Merci monsieur........tu le monde bujhee bujheee..........
kiingereza ndio lugha kuu ya mawasiliano wanapokuwa kambini miss world....so ni muhimu miss TZ wawe wanazungumza fluent english vinginevyo kule kambi ya miss world watanuka midomo tunilichogundua miss tz n madudu matupu...nkajua vigori watamwaga kisw cha haja...kumbe wapiii wote elingshi yenyewe ugoko!
Hivi miss world...wachina,wafrance,wareno nk huwa wanaongea kiingereza...jamani tuaxhe kukariri!
hafu nimegundua kuwa..
bila kigori "kufunuliwa" papuchi yake...harambi kituuuu!