Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Lake zone wanaweza kutoa miss Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshindi wa leo atakua kawazidi wenzake uzuri kutoka kwa wabovu mshindi kati ya wabovu
Yani leo angekuwepo mpoki hawa Mamiss sijui
Yani leo angekuwepo mpoki hawa Mamiss sijui
Huyo Miss Sinza ana mdomo mpanaa hahaa asee wengine wapo wapo tu kutimiza idadi
Jokate kabadili sauti leo hhhhhaaaaa hivi wema yupo
STAR TV wamechemka, angalia wakati mwingine mwanga ni mkali.
Ana muiga Lulu ila nimempenda sarakikya mzuri hatar
Hivi miss shinyanga wapo wawili eee sarakikya na Marry
Shinyanga naona safari hii mambo yanaweza kuwa mazuri ngoja tuone
Watakua wa lake zone wote
Hizo ni ARVJokate kanenepaaa