Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Hapa Tz kuna watu huwa wanafikiri Kuwa Mtu akizungumza Kingereza ni Msomi, hawajui Kuwa Taaluma na Lugha ni vitu viwili tofauti , kwani Taaluma hupatikana kwa Lugha za Kichina, kifaransa, kijerumani, kispain nk, na wengine wana PHD kwa lugha zao na hawajui Kingereza na maisha yanaendelea , huu ukumbuke wa kufikiri kwa Lugha za kigeni Utakwisha lini? Kwa staili hii kiswahili hakitakaa kikue kwani Hakuna kiongozi mwenye ujasiri wa kusisitiza watu kuipenda Lugha ya Taifa.
 
mtoto wake halali kabisa....huoni macho yale muheshiwa mtupu

come this way, hayo mambo ya waheshimiwa yameshacollapse..
sogea karibu yangu..na sisi tifanye umiss wakikubwa
 
UNGESHIRIK NA WEWE UONE the this tour and tourism HAMKOSAGI MANENO

Unataka watu wakae Kiimya ? Mbona mamiss wamekinyanyapaa Kiswahili ? Wao wanaona ni Ufahari kuongea Kingereza kuliko Lugha ya Taifa.
 
Jamani nilikuwa harusini ndio narejea home now, nani katwaa taji la miss TZ?
 
Back
Top Bottom