Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
demba kasepa...
Hata mie nasepa ngoja nikalale kabla mume hajashtuka kuwa sipo kitandani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
demba kasepa...
huku nlipo sipati star tv nasikia miss tanzania ana sura nzito na chachu au ndio yule aliyetolewa kwenye gazeti flani hivi yupo na mama yake(mke wa mtemvu) wanagawa zawadi.
all in al
this year mashindano si mazuri jamani
anko hashimu peke yako huwezi au sijui muda umefika wape wenzio vijiti
yaani kwa kweli hovyo hovyo tu nimeona umuhimu wa prashant patel leo
nA star tv mmeboa mbaya leo
yaani leo mmekera kwa kweli rangi bovuuu
hilo tatizo mnalo star tv
u hav to change please
goodnight
Bora hawaja mchagua tuna taka weusi bana huyu miss wamempa upendeleo kila mahali
all in al
this year mashindano si mazuri jamani
anko hashimu peke yako huwezi au sijui muda umefika wape wenzio vijiti
yaani kwa kweli hovyo hovyo tu nimeona umuhimu wa prashant patel leo
nA star tv mmeboa mbaya leo
yaani leo mmekera kwa kweli rangi bovuuu
hilo tatizo mnalo star tv
u hav to change please
goodnight
halafu huu nmeona ni kama ushamba wake tu..Hivi jamani Necta tungekua tunajibu kizungu then tunageuza nyuma tunaandika kitanganyika ili tueleweke zaidi endapo markers hawatoelewa kizungu si mjini maprofesors tungekua tunapigana vikumbo?
ndo maana pepar zimeandikwa fuata masharti, MISS WADANGANYIKA 2014
sasa madudu gani yale kaongea? kwanini asingesema ntajibu kwa English and French? chakushangaza zaidi eti ndo mshindi, hapo tayari umeshavunja masharti ya mtihani
ndo mana kapewa yule maana wale wengine hovyooo tu afadhali ya yule
yaani ameongoza mtumbwi wa vibwengo
linene bna..sa na ivi had miss world ni mwaka mzima si atakua kashakua beseni!!!..
kifrench kimesaidia bana
mnene kabisa mtazame shingo km pira la nyas
sasa madudu gani yale kaongea? kwanini asingesema ntajibu kwa English and French? chakushangaza zaidi eti ndo mshindi, hapo tayari umeshavunja masharti ya mtihani
Mwaka huu kifaransa kimempa umiss mdada. Mwakan kichina
Watabadilishana na mwembamba bongo kila kitu kinawezekanaa
star tv na tbc hovyo kabisa ...kwa mambo ya live ni ITV tu