Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

huku nlipo sipati star tv nasikia miss tanzania ana sura nzito na chachu au ndio yule aliyetolewa kwenye gazeti flani hivi yupo na mama yake(mke wa mtemvu) wanagawa zawadi.

ndiye huyo huyo mtoto wa mbunge nasikia
 
Mashindano haya yamekosa maana ...bora yafutwe
 
all in al
this year mashindano si mazuri jamani
anko hashimu peke yako huwezi au sijui muda umefika wape wenzio vijiti
yaani kwa kweli hovyo hovyo tu nimeona umuhimu wa prashant patel leo
nA star tv mmeboa mbaya leo
yaani leo mmekera kwa kweli rangi bovuuu
hilo tatizo mnalo star tv
u hav to change please
goodnight

star tv na tbc hovyo kabisa ...kwa mambo ya live ni ITV tu
 
all in al
this year mashindano si mazuri jamani
anko hashimu peke yako huwezi au sijui muda umefika wape wenzio vijiti
yaani kwa kweli hovyo hovyo tu nimeona umuhimu wa prashant patel leo
nA star tv mmeboa mbaya leo
yaani leo mmekera kwa kweli rangi bovuuu
hilo tatizo mnalo star tv
u hav to change please
goodnight

nakuunga mkono,... star tv wamechemka mbaya picha kama mashindano ya mis mtaa jaman....duu
 
Hivi jamani Necta tungekua tunajibu kizungu then tunageuza nyuma tunaandika kitanganyika ili tueleweke zaidi endapo markers hawatoelewa kizungu si mjini maprofesors tungekua tunapigana vikumbo?

ndo maana pepar zimeandikwa fuata masharti, MISS WADANGANYIKA 2014
halafu huu nmeona ni kama ushamba wake tu..
 
sasa madudu gani yale kaongea? kwanini asingesema ntajibu kwa English and French? chakushangaza zaidi eti ndo mshindi, hapo tayari umeshavunja masharti ya mtihani

kiukweli amefeli mtihani ila ndo katika masalo wamechukua ile yenye uafadhali
 
ndo mana kapewa yule maana wale wengine hovyooo tu afadhali ya yule
yaani ameongoza mtumbwi wa vibwengo

Angepata Marry tusingepumua aiseeee yaan bint anautaka umaarufu huyuuuu duu ajitahidi tu atakua maarufu aimbe mziki
 
kifrench kimesaidia bana

Ni ulimbukeni wa majaji kwa sababu ameenda kinyume na utaratibu. Alitakiwa kutumia moja Kati ya lugha mbili yaani English or Swahili..

Kifaransa ingekuwa added advantage if and only if moja Kati ya majaji wamemuelewa alichoongea kwa kifaransa,na hata kama yupo ilitakiwa awafafanulie majaji wezie. What if kaongea matusi, what if kaongea broken French who knows.

Kwa kweli watanzania tunasafari ndefu sana kufika huko tunakoota kwamba tutafika.
 
sasa madudu gani yale kaongea? kwanini asingesema ntajibu kwa English and French? chakushangaza zaidi eti ndo mshindi, hapo tayari umeshavunja masharti ya mtihani

nashukuru..amekosea maelekezo cha ,lugha ilioitakiwaa n kiswahl au kiingereza basi,
 
Hata mi naunga mkono hoja miss world wasindikizaji english hajui eti anaongea kifaransa
 
Back
Top Bottom