Miss Tanzania 2018: Miss Kinondoni, Queen Elizabeth aibuka mshindi

Katika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wenye hadhi ya kimataifa na unaofanya vizuri kwa sasa kwa mikutano wa JINCC mrembo kutoka kinandoni Queen Elizabeth amewalaza chali washiriki wengine 19 akiwemo miss Mbeyaaaaaaa!(kwa sauti yake)
Tangu mwanzo sana miss huyo mwenye vigezo vingi kuwazidi wenzake alionekana kupata utabiri wa ushindi hata kutoka kwangu(hapa muhindi angeweka mzigo angepigwa asubuhi) wa kuwashinda wenzake na mpaka majira ya usiku mnene watu wakiwa wamechoka kwa usingizi alitangazwa kuwa mshindi wa miss Tanzania hivyo nae amekuwa sehem ya washindi wa shindano linaloanza upya mara kwa mara
 
Miss Mbeya awe balozi wa kutokomeza ajali mkoani Mbeya.
Dogo chukua madini haya kutoka kwa dadayo
Kweli kwa njia hiyo atafanikiwa ila nadhani ndoto yake ni kuwa video vixen na mwanamitindo haya mambo ya kijamii wa sasa hawayajui
 
Mkuu sijajua jinsi ya kutupia picha ila yupo lakini kifupi aliwazidi wenzake ila sio watanzania maana ni wa kawaida sana faraja kota angepanda angeshinda
na uzee wote ule lakini angeshinda ..kweli hao ma miss walikuwa ni vijuso " hahaaa
 
huyu alistahili, nilimwona kwenye miss Dar! na nikajua lazima ashinde miss Tz!!na yai analimwaga haswaa plus kujiamini juu, congrats kwake.
 
Pety pety issues by John Heche!
 
Wew una wivu kaka, hiyo binti Kawa miss kinondoni, Kawa miss Dar, Kawa miss universal, kaenda Japan Kawa miss universal wa Dunia hivyo uzoefu wa maswali anaujua, pia anauzoefu mkubwa kwenye hili swala cha mhimu tuache roho mbaya watanzania kaweza kujiamini pili ni mzoefu
 
Confirm ....... sasa ukute unajua swali moja zaidi ,jingine hujui kiasi ,na jingine ndo kabisaa hamna kitu , mwisho unachukua Effects WW2 unaweka kwenye points za Great Depression ...[emoji3]

Au Great depression unaipa point za Grow of dictatorships in Europe
 
Mwenye kujua background yake kidogo anijuze... Maana nimeweza kujua ni malkia wa uk nikawakiwa wakanambia jua background yake haswa jina ndyo limekuwa tatzo kulifananisha na la yule wa UK
 

Tupia picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…