uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Katika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wenye hadhi ya kimataifa na unaofanya vizuri kwa sasa kwa mikutano wa JINCC mrembo kutoka kinandoni Queen Elizabeth amewalaza chali washiriki wengine 19 akiwemo miss Mbeyaaaaaaa!(kwa sauti yake)
Tangu mwanzo sana miss huyo mwenye vigezo vingi kuwazidi wenzake alionekana kupata utabiri wa ushindi hata kutoka kwangu(hapa muhindi angeweka mzigo angepigwa asubuhi) wa kuwashinda wenzake na mpaka majira ya usiku mnene watu wakiwa wamechoka kwa usingizi alitangazwa kuwa mshindi wa miss Tanzania hivyo nae amekuwa sehem ya washindi wa shindano linaloanza upya mara kwa mara