Majestic wolf
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 1,248
- 1,851
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mashosti wameenda kumjulia hali Mungu anakuona dada[emoji1]Jamani mm naona miss Tanzania hapo anaonekana kama mtu aliyeugua kwa muda mrefu sasa ndio ana recover na hao ni marafiki walioenda kumjulia hali
mchochezi kivipi?mchochezi wewe
inasemekana eti huwa anainjinia suala zima la nani akatuwakilishe... naomba uzingatie neno "anainjinia"Kwani mnamaanisha nini?
Lundenga kivipi?
Mmmh wabongo nimewashindwa kwa kweli[emoji12] [emoji12]Jamani mm naona miss Tanzania hapo anaonekana kama mtu aliyeugua kwa muda mrefu sasa ndio ana recover na hao ni marafiki walioenda kumjulia hali
Spinderella Spinderella, ujue Mungu anakuona.......Ooooh.Jamani mm naona miss Tanzania hapo anaonekana kama mtu aliyeugua kwa muda mrefu sasa ndio ana recover na hao ni marafiki walioenda kumjulia hali
Mkuu Mungu anakuona unavyoponda kazi yakeHuyo naona kaenda kuwa dekia wenzie ni mbaya wa sura walah ni mbayaaa
Hebu mfananisheni tu na miss Rwanda kabla hamjatoka povu , yaani miss wetu mbaya halafu hata nguo akivaa hazimpendezi......li wigi lake analovaa sasa yereuwiiiiii kama tambala la deki.....kwa wataalam wa picha hebu tuwekeeni picha za mamiss wengine wa africa ndo mtaamini huyu wetu kituko..
Yule aliyeenda miss universe atafanya vizuri sio kwaajili ya weupe wake bali pia anavutia
Hata kama ni weusiiiiii wakina Odemba walikuwa weusi wanavutia , lakini huyu hapanaaaa