Miss Tanzania akiwa na walimbwende wenzake, je atawashinda?

Atashinda!
Katka mamiss Tz waliopita huyu atatutoa kimasomaso wengi hamtaamini
 
Wenzake wanacheka ila yeye hapo sijui ndio kacheka au katabasamu!
 
Huyo naona kaenda kuwa dekia wenzie ni mbaya wa sura walah ni mbayaaa
Hebu mfananisheni tu na miss Rwanda kabla hamjatoka povu , yaani miss wetu mbaya halafu hata nguo akivaa hazimpendezi......li wigi lake analovaa sasa yereuwiiiiii kama tambala la deki.....kwa wataalam wa picha hebu tuwekeeni picha za mamiss wengine wa africa ndo mtaamini huyu wetu kituko..

Yule aliyeenda miss universe atafanya vizuri sio kwaajili ya weupe wake bali pia anavutia

Hata kama ni weusiiiiii wakina Odemba walikuwa weusi wanavutia , lakini huyu hapanaaaa
 
1481370952767.jpg
1481370957839.jpg
Kama wangeangalia uzuri tu, Agban Darego kutoka Nigeria asingetwaa taji 2001
 
Huyo naona kaenda kuwa dekia wenzie ni mbaya wa sura walah ni mbayaaa
Hebu mfananisheni tu na miss Rwanda kabla hamjatoka povu , yaani miss wetu mbaya halafu hata nguo akivaa hazimpendezi......li wigi lake analovaa sasa yereuwiiiiii kama tambala la deki.....kwa wataalam wa picha hebu tuwekeeni picha za mamiss wengine wa africa ndo mtaamini huyu wetu kituko..

Yule aliyeenda miss universe atafanya vizuri sio kwaajili ya weupe wake bali pia anavutia

Hata kama ni weusiiiiii wakina Odemba walikuwa weusi wanavutia , lakini huyu hapanaaaa
Mkuu Mungu anakuona unavyoponda kazi yake
 
Lile liwig lake rangi haieleweki ugoro sio ugoro sijui alichukua wig ambayo dada yake alifanyia ubatizo au ilikuaje
 
Back
Top Bottom