Miss Tanzania aliyehojiwa Mkasini jana

mshamba tu huyu dada alafu nichotara

Chotara la kigiriki halafu kafanana na Miss Uganda wa mwaka huu kweli point 5 wa mulugo ni shiiiiiddddaaaaaa,kaniboa na kizungu chake tu kiswakinge kibao bora angeongea kiingereza full na sio kumix mix.
 
bora hukuona tu. Anaongea VIBAYA. ALINIKERA SANA.

SIJUI KWANINI KUNA BAADHI YA WATU WANDHANI NI UJANJA, KU ACT HAWAJUI KISWAHIL.

sasa kama kweli hajui kiswa asiseme? usifiri kila mtanzania amekulia mtaani kwenu...eboo!!
 
Ana uchotara ganii huyo jamaniii hebu wekeni picha mnaowezaaaa,

yeye mwenyewe alisema ingawa ni mweusi balaa aisee alafu ukisema ni miksa na ugiriki sielewi ingawa ana akili sana. sasa hapa EATV wamemweka yule wa tatu nae miksa mhindi du anaitwa JIHAN JITAN
 
yeye mwenyewe alisema ingawa ni mweusi balaa aisee alafu ukisema ni miksa na ugiriki sielewi ingawa ana akili sana. sasa hapa EATV wamemweka yule wa tatu nae miksa mhindi du anaitwa JIHAN JITAN

Labda mgiriki mweusi hhhhhhaaaa
 

ram kwanini usingegombea wewe miss TZ?
 
Mimi kuna kitu sikielewi hapo,hivi kati ya baba ake na mama ake yupi mgiriki?
 
Sasa watu weupe wana damu kali mnoo,au mama alimdanganya kua baba yake ni mgirikii

hata mimi jana nilipomsikia kwenye kipindi cha mkasi anasema baba yake ni mgiriki nilipatwa na mshangao. Natamani mwenye picha za wagiriki atuwekee
 
Jamani happy ni step daughter wa huyo mgiriki wadogo zake ndo point tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…