Miss Tanzania aliyehojiwa Mkasini jana

Miss Tanzania aliyehojiwa Mkasini jana

Ila huyu sister yupo smart sana na ni mwerevu ,sio mtu wa maubuyu kama warumi.
 
Sema hivyoo aiseee mi nilikua nishakataaaaa

hahahaaaa ubongo uligoma kabisa
mi nilimuona kwenye events fulani na wadgo zake na baba ake *mama yao yaani wale watoto ndo chotara kabisa so nafkri yule mzee ndo kamlea toka yuko mdogo
 
Hapo sawa nimekubali aiseeee
 
Jamani happy ni step daughter wa huyo mgiriki wadogo zake ndo point tano

hapana chotara wadogo zake
ye ni mtoto wa kambo kwa yule baba

Sasa alivyojishembendua kwamba baba take ni mgiriki ili iweje? Nikashangaa point tano gani yupo kama Miss uganda wa 2014? Ukizaa na mzungu lazima mtoto atoke na makombo kidogo hamna hamna anapata ngozi kama ya obama!
 
Yaaan ni shidaaaaa miss wa Uganda na wa Kenya unaweza pasuka mbavu aiseeeeee
 
Labda mgiriki mweusi hhhhhhaaaa

Binamu, mimi mwenyewe nimemsikia kwa masikio yangu na kumuona, alisema babake ni mgiriki na mama ni mtz, na wakiwa nyumbani hawaongei kiswahili ni kiinglish tu na amesoma shule za st. Sasa mie najiuliza hili jina la watimanywa ni la kigiriki au kihaya?
 
Sasa alivyojishembendua kwamba baba take ni mgiriki ili iweje? Nikashangaa point tano gani yupo kama Miss uganda wa 2014? Ukizaa na mzungu lazima mtoto atoke na makombo kidogo hamna hamna anapata ngozi kama ya obama!

hahahaa labda kamuadapt!!
 
Binamu, mimi mwenyewe nimemsikia kwa masikio yangu na kumuona, alisema babake ni mgiriki na mama ni mtz, na wakiwa nyumbani hawaongei kiswahili ni kiinglish tu na amesoma shule za st. Sasa mie najiuliza hili jina la watimanywa ni la kigiriki au kihaya?

Hhhhhjhaaa yaan nimecheka eti watimanywa ni jina la kigiriki au kihayaaa si angesema tu kua yeye ni mtoto wa Kambo wa mgirikii
 
watu mko makini
lakini mi naona bora alivyosema hivyi hajambagua mzazi aliyemlea toka utotoni
ukute baba ake mzazi alikataa mimba au hamjui au hamhudumii
 
Last year kwenye uzi wa miss tz, kuna watu walisema baba ake mzazi Happy alifariki Happy akiwa na kama miaka 2 hivi. Ndo baadaye mama ake akaja kuolewa na huyo mgiriki
 
Hhhhhjhaaa yaan nimecheka eti watimanywa ni jina la kigiriki au kihayaaa si angesema tu kua yeye ni mtoto wa Kambo wa mgirikii
kwa mzazi aliyekulea kwa mapenzi yote, huwezi kumuita baba/ mama wa kambo mbele ya kadamnasi. baba si lazima awe biological, ni yule aliyekulea. wanaume wengi wanaweza kuzalisha lakini si wanaume wote wanaweza kuwa baba
 
Nimekupataaaaa
 
Last year kwenye uzi wa miss tz, kuna watu walisema baba ake mzazi Happy alifariki Happy akiwa na kama miaka 2 hivi. Ndo baadaye mama ake akaja kuolewa na huyo mgiriki

km ni hvyo ni sawa kumuita baba maana kamlea kwa mapenzi bila ubaguzi mpaka ulaya kaenda
 
Back
Top Bottom