Miss Tanzania aliyehojiwa Mkasini jana

Miss Tanzania aliyehojiwa Mkasini jana

Binamu, mimi mwenyewe
nimemsikia kwa masikio yangu na kumuona, alisema babake ni mgiriki na
mama ni mtz, na wakiwa nyumbani hawaongei kiswahili ni kiinglish tu na
amesoma shule za st. Sasa mie najiuliza hili jina la watimanywa ni la
kigiriki au kihaya?

Ni la Kigiriki!
 
ImageUploadedByJamiiForums1414562093.720210.jpgImageUploadedByJamiiForums1414562111.814812.jpgImageUploadedByJamiiForums1414562128.049254.jpg


Kweli nimeamini kuchaguliwa kuwa miss sura sio kigezo
 
Back
Top Bottom