Yaani hapa ni live bila chengaWanaonyesha?
Ndio wanaonshe hapaWanaonyesha?
Katika kitu ambacho kimenivuruga ni huyu dada wa Red carpet na make up yake yaani full kituko[emoji3] [emoji3].Red carpet naona ni maronyaronya tu yamevaliwa......,
Wasukuma kuvaa vizuri hawataki kabisa.......
Huyu dada anaetangaza hiyo make up ni liwa kapakwa au.....?......
Yani huyo mdada akanawe hyo makeup tu aisee uvaaji zero, kiswahili sasa hivi hawa ni watangazaji au wameokotwa.Red carpet naona ni maronyaronya tu yamevaliwa......,
Wasukuma kuvaa vizuri hawataki kabisa.......
Huyu dada anaetangaza hiyo make up ni liwa kapakwa au.....?......
nimefikiri ni quality ya screen yangu, hapo natumia HDMI leoHata star TV hao watangazaji kiswahili kibovu huyo wakike na makeup yake aibu tyupu
Katika kitu ambacho kimenivuruga ni huyu dada wa Red carpet na make up yake yaani full kituko[emoji3] [emoji3].
Star TV nao kwenye live hawako vzuri Ku colour hapa wangeonyesha ITV au Azam wako vzuri Leo bila kutumia king'amuzi chenye HD huwezi ona vzurinimefikiri ni quality ya screen yangu, hapo natumia HDMI leo
Bila chenga!? Mungu anakuonaMbona star tv live bila chenga
Mkuu usiwalaumu wasukuma, Sasa hivi mwanza vitu vingi vinaendeshwa na makabila mageni, na hii event ni ya kitaifa meaning kamati ya maandalizi imejumuisha watu kutoka pande mbalimbali.Mwanza ni kupewa heshima tuIla wasukuma wenzangu ushamba utatuisha lini?