Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

gwa myetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
4,473
Reaction score
4,666
Warembo wapo katika dance ya ufunguzi , kuna wengine wanapatia steps wengine wanaenda tofauti ila wamependeza sana.

Warembo wameshamaliza kupita na mavazi ya ubunifu, vazi la kitenge limetawala, aliyetikelezea na kuchukiza hiyo nawaachia wenyewe.

12:15
Vazi la ufukweni now , kivazi kimewapendeza sana , japo wakienda miss world lazima tu wavae kyupi nashangaa hapa wanavaa vikaptula na shati juu
=======

Diana Edward Lukumai kutoka wilaya ya Kinondoni amefanikiwa kushinda taji la Miss Tanzania kwa mwaka 2016 mjini Mwanza baada ya shindano hilo kutofanyika kwa miaka miwili mfululizo.
 
Wanaonyesha?
Ndio wanaonshe hapa
d14c12b692d3323fd6e7f2bed80818c8.jpg
 
Katika kitu ambacho kimenivuruga ni huyu dada wa Red carpet na make up yake yaani full kituko[emoji3] [emoji3].

Make up mbaya sana.......mavazi pia big NO......
Sijui nini kinaendelea hapa,,,,,,
 
Ila wasukuma wenzangu ushamba utatuisha lini?
Mkuu usiwalaumu wasukuma, Sasa hivi mwanza vitu vingi vinaendeshwa na makabila mageni, na hii event ni ya kitaifa meaning kamati ya maandalizi imejumuisha watu kutoka pande mbalimbali.Mwanza ni kupewa heshima tu
 
Back
Top Bottom