5,4 hawajanivutia sura mbovu ka wanapuriza myotoo chaah nmempenda wa kwanza ila usishangae wa mwanza akashindaNa mimi hiyo nimeiona, sasa wa kati duh
Mnisamehe ila haya mashindano yanayake...pesa inatembea kama kawa.
Wa Mwanza kufurahisha waliolipia kiingilio pia.
Namba 5 hakunivutia tangu mwanzo pia
Mbona kuna wengine wazuri kuliko top five hawajapata nafasi, kwenye top five Anna nitwa ana deserve ushindi ila kibongo bongo mhhhhMpk sa iv hujasifia yeyote.kuwa. kuwa muungwana mpendwA
le mutuz atamzindua
Wa mwanza lazima apewe shangwe kwani si yupo kwao: nani atakubali atoe shangwe kwa mrembo mwengine wakati mwanza wanamrembo wao, wahudhuriaji wengi kutoka nyumbani mwanzaNa mimi hiyo nimeiona, sasa wa kati duh
Mnisamehe ila haya mashindano yanayake...pesa inatembea kama kawa.
Wa Mwanza kufurahisha waliolipia kiingilio pia.
Namba 5 hakunivutia tangu mwanzo pia
Mi Bella kanifuraisha mnoJokate na Bella ni majembe[emoji109] [emoji109]
Wasipotoa shukran kwa hao watu basi hawana shukrani wameokoa jahazi.
Alisha cremisha kabisa ila akipewa ushindi ajifunze ajifunze kutamka Serengeti na vivutio vizuri
Kuhusu pesa mimi sina uhakika, naimani mwaka huu hakuna rushwa sababu ya uboreshaji wa mashindano hayaNa mimi hiyo nimeiona, sasa wa kati duh
Mnisamehe ila haya mashindano yanayake...pesa inatembea kama kawa.
Wa Mwanza kufurahisha waliolipia kiingilio pia.
Namba 5 hakunivutia tangu mwanzo pia
5,4 hawajanivutia sura mbovu ka wanapuriza myotoo chaah nmempenda wa kwanza ila usishangae wa mwanza akashinda
acha utanishindano limechangamka kwelikweli, limevunja rekodi ya mashindano yote miss tanzania ambayo yalishawahi fanyika. mwanza inatisha kwelikweli
ahahaaa yaani mzee wa mabebs kaingiza mtu 30 leo kwenye account yakeHa ha haaaaaaaaaa
Atapokea mgumi za kimasai, namuombea afike mbali kwa kweli kivyovyote.
Ila ndio star wa hao top 5 bila kupingwa, na atatufikisha mbali kama nchi.
Kwahiyo 'Clouds' na 'Star' wanatuhadaa?Miss Geita awa Miss Tanzania
Kuhusu pesa mimi sina uhakika, naimani mwaka huu hakuna rushwa sababu ya uboreshaji wa mashindano haya
mm nikajua presha imeshuka nikashangaa sioni akiangukaNamba nne eeeeh alibwabwaja hata haikupendeza, hivi aliweka full stop hata kujipa sekunde kupumua ha ha haaaa
nipo shoga angu nimekuwa CEO.basi.nimekuwa busy busy (kidding)nlikumis pia we mwanamke ulipotelea wapi huonekani shogaang