Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

5,4 hawajanivutia sura mbovu ka wanapuriza myotoo chaah nmempenda wa kwanza ila usishangae wa mwanza akashinda

wa mwanza aka namba 26 lazima ashinde make ndo kawafunika wote
 
Na mimi hiyo nimeiona, sasa wa kati duh

Mnisamehe ila haya mashindano yanayake...pesa inatembea kama kawa.

Wa Mwanza kufurahisha waliolipia kiingilio pia.

Namba 5 hakunivutia tangu mwanzo pia
Hao top five huandaliwa mapema kabisa na ni lazima rushwa itembee bila HVO hata uweje na vigezo hutobozi
 
Yaan kuanzia MC had TV chanel ni kimeo, mc hayuko seriaz na kazi, he is doing as if ameforciwa,
 
Hivi hairuhusiwi kuongea kiswahili kwenye hili shindano?
Ninaamini Raisntuko naye live atakemea huu utumwa wa lugha. Watu wanakariri tu wakati wangetumia kiswahili wana uwezo mkubwa tu,bona wachina wameshinda miss world na walikuwa wanaongea Kichina?
Km mmoja angeongea Kiswahili angepata ushawishi zaid wa kuendelea
 
Mgauni wa Wema Hell Noooo[emoji38][emoji38][emoji38]

Kajifunza mwilo usionyeshe vipande pande...kwi kwi kwiiiii

Miss 2016 namuombea hasiwe kama Wema maana nooooooo, hapana awe kivyake wala hasifate ushauri kisa wamemuona hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…