Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Huyu Bella hanaga mwanamke mwingine zaidi ya Wema wa kumsaidia akiwa kwa stage?

Lazima nae anakula vyake kimya kimya, haiwezekani hivi kama hapati kitu kwa kumpa nafasi sana kwa majukwaaa.
 
Aisee ficha upumbavu wako kwani nani kakwambia mi mchaga?? Kwanza miss lenu libaya limebebwa tu

wabaya wote washatoka, yule wenu wa kilimanjaro ndo wa kwanza kusomwa kutoka. kanda ya ziwa chama kubwa tunawanyoosha na mtanyooka kwelikweli.
 
hela isiyo na jasho haina uchungu ametoka china alikuwa na jamaa wa gsm so ana hela ya kutosha

Si inategemea na % ya kazi aloyowafanyia nao wamepata ngapi. Life... hakuna vya bure ovyo ovyo kwa wengi walio na pesa
 
hili ndo shindano bora kabisa la miss Tanzania
 
Huyu bella leo alikuwa bangi kichwan shoo ovyo kabsa kaniangusha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…