Wamecheat tena pumbavu[emoji48][emoji48][emoji22]..Siha Pius ameachwa?!
Mkuu kwa nini nini halikufanyika miaka miwili mfululizo, na je wakina Lundega bado wapo au walijitoa?Warembo wapo katika dance ya ufunguzi , kuna wengine wanapatia steps wengine wanaenda tofauti ila wamependeza sana.
Warembo wameshamaliza kupita na mavazi ya ubunifu, vazi la kitenge limetawala, aliyetikelezea na kuchukiza hiyo nawaachia wenyewe.
12:15
Vazi la ufukweni now , kivazi kimewapendeza sana , japo wakienda miss world lazima tu wavae kyupi nashangaa hapa wanavaa vikaptula na shati juu
=======
Diana Edward Lukumai kutoka wilaya ya Kinondoni amefanikiwa kushinda taji la Miss Tanzania kwa mwaka 2016 mjini Mwanza baada ya shindano hilo kutofanyika kwa miaka miwili mfululizo.
Mwendo kasi style.Make up mbaya sana.......mavazi pia big NO......
Sijui nini kinaendelea hapa,,,,,,
Mi najuaga we demuAzarel ni jina la Kiisrael la Kiume
Unaweza kugoogle maana yake.
Najuaga si kiswahili fasahaMi najuaga we demu
Kweli mkuuMsukuma unampelekea shindano la miss Tz?
Bora wahaya wenzangu,Msukuma haelimiki kijamii,kimasomo anakuwa dokta lakini social life ni washamba sana!
Hongera masai!
MISS TANZANIA 2016Warembo wapo katika dance ya ufunguzi , kuna wengine wanapatia steps wengine wanaenda tofauti ila wamependeza sana.
Warembo wameshamaliza kupita na mavazi ya ubunifu, vazi la kitenge limetawala, aliyetikelezea na kuchukiza hiyo nawaachia wenyewe.
12:15
Vazi la ufukweni now , kivazi kimewapendeza sana , japo wakienda miss world lazima tu wavae kyupi nashangaa hapa wanavaa vikaptula na shati juu
=======
Diana Edward Lukumai kutoka wilaya ya Kinondoni amefanikiwa kushinda taji la Miss Tanzania kwa mwaka 2016 mjini Mwanza baada ya shindano hilo kutofanyika kwa miaka miwili mfululizo.
MISS TANZANIA 2016C.V yake ikoje