Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Yule Mzee Lundenga hajapitia hapo kweli jamaa naskia ni hatari
 
wewe mpumbavu uliyejificha nyuma ya keyboard na kuandika maneno yenye maudhi na dharau kuwahusu wasukuma, kwa sababu ya shindano hili la kipuuzi jitafakari upyaa.

Naona kuna watu humu watumia sehemu zao za aja kufikiri, hivi unaanzaje kutupa lawama zako kwa kabila flan eti kwa sababu ni wenyeji tu wa sehemu ambayo pamefanyika tukio lisilokufurahisha?

inamaana walioshiriki tukio hilo ni wasukuma peke yao? na kwan miaka mingine hayo mapungufu yanayowatoa mapovu huwa hayapo na yamekuja kuonekana mwaka huu shindano hili liliopofanyikia kwa wasukuma?

acheni ujinga nyie na kwa taarifa yenu wasukuma hawana muda na mashindano ya kipuuzi kama haya ya kutembea uchi majukwaani, ni hao hao wachache mnao waona na kuwatumia kutoa judgement kwa whole tribe.

narudia tena ficheni ujinga wenu, wasukuma hawako kama akili zenu zinavyowatuma.

binafsi napenda hii ndio iwe mwanzo na mwisho wa shindano hili kufanyikia Mwanza, mwakani mlirudishe huko huko mikoani kwenu mlipolizoea.

TOMBINA.
 
Huyu binti wamemuonea. Nadhan mlungula umepita na hapa Miss World tusahau
 
Warembo wapo katika dance ya ufunguzi , kuna wengine wanapatia steps wengine wanaenda tofauti ila wamependeza sana.

Warembo wameshamaliza kupita na mavazi ya ubunifu, vazi la kitenge limetawala, aliyetikelezea na kuchukiza hiyo nawaachia wenyewe.

12:15
Vazi la ufukweni now , kivazi kimewapendeza sana , japo wakienda miss world lazima tu wavae kyupi nashangaa hapa wanavaa vikaptula na shati juu
=======

Diana Edward Lukumai kutoka wilaya ya Kinondoni amefanikiwa kushinda taji la Miss Tanzania kwa mwaka 2016 mjini Mwanza baada ya shindano hilo kutofanyika kwa miaka miwili mfululizo.

4622c4850a79d066a2f7d3ad06f22d2e-jpg.426372
Mkuu kwa nini nini halikufanyika miaka miwili mfululizo, na je wakina Lundega bado wapo au walijitoa?
 
Warembo wapo katika dance ya ufunguzi , kuna wengine wanapatia steps wengine wanaenda tofauti ila wamependeza sana.

Warembo wameshamaliza kupita na mavazi ya ubunifu, vazi la kitenge limetawala, aliyetikelezea na kuchukiza hiyo nawaachia wenyewe.

12:15
Vazi la ufukweni now , kivazi kimewapendeza sana , japo wakienda miss world lazima tu wavae kyupi nashangaa hapa wanavaa vikaptula na shati juu
=======

Diana Edward Lukumai kutoka wilaya ya Kinondoni amefanikiwa kushinda taji la Miss Tanzania kwa mwaka 2016 mjini Mwanza baada ya shindano hilo kutofanyika kwa miaka miwili mfululizo.

4622c4850a79d066a2f7d3ad06f22d2e-jpg.426372
MISS TANZANIA 2016

JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9

Ingawa sio mshabik wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili
 
C.V yake ikoje

Back
Top Bottom