Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

MISS TANZANIA 2016

JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9

Ingawa sio mshabik wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili
 
Una uthibitisho gani juu ya tuhuma hizi??

Hebu weka document husika ili nijue cha kuchangia coz watanzania ni wazuri kwa kuropoka ili wajulikane wanajua mambo pasi na vielelezo.
Umeitwa kuchangia?[emoji57] [emoji57]
 
kama uko dar tambua uko ktk dar ya makonda wa kishiri, igomA, MWANZA tz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ya kwake....?!!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!mnavyojibustii!!

ngosha bwana!
 
Una uthibitisho gani juu ya tuhuma hizi??

Hebu weka document husika ili nijue cha kuchangia coz watanzania ni wazuri kwa kuropoka ili wajulikane wanajua mambo pasi na vielelezo.


Hiyo sura sio yamiaka 18 jifunze ustaarabu
 
OMO Bubbles...
 
Hii shahada anayo au ndio anasomea?
Tuwekane sawa wadau.
Isijekuwa sitti remix hii.
 
Reactions: Lee
Huyo miss tanzania avuliwe taji kwa kuwadanganya watanzania amesema ana degree na ana miaka 18 sasa naomba kuuliza kwa matokeo haya ni degree ambayo amepata
Jaman Jaman hatuwezi jua labda kasomea uganda
 
Nguruwe pita Sina mkuki miee


Kumbe wewe wamombasa sio makosa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…