Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

MISS TANZANIA 2016

JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9

Ingawa sio mshabik wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili
 
Una uthibitisho gani juu ya tuhuma hizi??

Hebu weka document husika ili nijue cha kuchangia coz watanzania ni wazuri kwa kuropoka ili wajulikane wanajua mambo pasi na vielelezo.
Umeitwa kuchangia?[emoji57] [emoji57]
 
kama uko dar tambua uko ktk dar ya makonda wa kishiri, igomA, MWANZA tz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ya kwake....?!!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!mnavyojibustii!!

ngosha bwana!
 
Una uthibitisho gani juu ya tuhuma hizi??

Hebu weka document husika ili nijue cha kuchangia coz watanzania ni wazuri kwa kuropoka ili wajulikane wanajua mambo pasi na vielelezo.
1477832307360.png


Hiyo sura sio yamiaka 18 jifunze ustaarabu
 
wewe ******** uliyejificha nyuma ya keyboard na kuandika maneno yenye maudhi na dharau kuwahusu wasukuma, kwa sababu ya shindano hili la kipuuzi jitafakari upyaa.


Naona kuna watu humu watumia sehemu zao za aja kufikiri, hivi unaanzaje kutupa lawama zako kwa kabila flan eti kwa sababu ni wenyeji tu wa sehemu ambayo pamefanyika tukio lisilokufurahisha?

inamaana walioshiriki tukio hilo ni wasukuma peke yao? na kwan miaka mingine hayo mapungufu yanayowatoa mapovu huwa hayapo na yamekuja kuonekana mwaka huu shindano hili liliopofanyikia kwa wasukuma?

acheni ujinga nyie na kwa taarifa yenu wasukuma hawana muda na mashindano ya kipuuzi kama haya ya kutembea uchi majukwaani, ni hao hao wachache mnao waona na kuwatumia kutoa judgement kwa whole tribe.

narudia tena ficheni ujinga wenu, wasukuma hawako kama akili zenu zinavyowatuma.

binafsi napenda hii ndio iwe mwanzo na mwisho wa shindano hili kufanyikia Mwanza, mwakani mlirudishe huko huko mikoani kwenu mlipolizoea.

TOMBINA.
OMO Bubbles...
1477832711578.png
 
Hii shahada anayo au ndio anasomea?
Tuwekane sawa wadau.
Isijekuwa sitti remix hii.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Huyo miss tanzania avuliwe taji kwa kuwadanganya watanzania amesema ana degree na ana miaka 18 sasa naomba kuuliza kwa matokeo haya ni degree ambayo amepata
d9e0a71d362eba1eaca33aaf49258b22.jpg
Jaman Jaman hatuwezi jua labda kasomea uganda
 
Nguruwe pita Sina mkuki miee


Kumbe wewe wamombasa sio makosa yako
 
Back
Top Bottom