Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
mmechukua taji...m?!!!
baada ya kumgalagaza mmasai kwenda ikulu sasa tumeamua tuwafute machozi na hicho ki-ist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmechukua taji...m?!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ananuka fubaaa!
Umeitwa kuchangia?[emoji57] [emoji57]Una uthibitisho gani juu ya tuhuma hizi??
Hebu weka document husika ili nijue cha kuchangia coz watanzania ni wazuri kwa kuropoka ili wajulikane wanajua mambo pasi na vielelezo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ya kwake....?!!!kama uko dar tambua uko ktk dar ya makonda wa kishiri, igomA, MWANZA tz
Umeitwa kuchangia?[emoji57] [emoji57]
Una uthibitisho gani juu ya tuhuma hizi??
Hebu weka document husika ili nijue cha kuchangia coz watanzania ni wazuri kwa kuropoka ili wajulikane wanajua mambo pasi na vielelezo.
amemaliza lini shule?Huyo miss tanzania avuliwe taji kwa kuwadanganya watanzania amesema ana degree na ana miaka 18 sasa naomba kuuliza kwa matokeo haya ni degree ambayo amepata![]()
OMO Bubbles...wewe ******** uliyejificha nyuma ya keyboard na kuandika maneno yenye maudhi na dharau kuwahusu wasukuma, kwa sababu ya shindano hili la kipuuzi jitafakari upyaa.
Naona kuna watu humu watumia sehemu zao za aja kufikiri, hivi unaanzaje kutupa lawama zako kwa kabila flan eti kwa sababu ni wenyeji tu wa sehemu ambayo pamefanyika tukio lisilokufurahisha?
inamaana walioshiriki tukio hilo ni wasukuma peke yao? na kwan miaka mingine hayo mapungufu yanayowatoa mapovu huwa hayapo na yamekuja kuonekana mwaka huu shindano hili liliopofanyikia kwa wasukuma?
acheni ujinga nyie na kwa taarifa yenu wasukuma hawana muda na mashindano ya kipuuzi kama haya ya kutembea uchi majukwaani, ni hao hao wachache mnao waona na kuwatumia kutoa judgement kwa whole tribe.
narudia tena ficheni ujinga wenu, wasukuma hawako kama akili zenu zinavyowatuma.
binafsi napenda hii ndio iwe mwanzo na mwisho wa shindano hili kufanyikia Mwanza, mwakani mlirudishe huko huko mikoani kwenu mlipolizoea.
TOMBINA.
Jaman Jaman hatuwezi jua labda kasomea ugandaHuyo miss tanzania avuliwe taji kwa kuwadanganya watanzania amesema ana degree na ana miaka 18 sasa naomba kuuliza kwa matokeo haya ni degree ambayo amepata![]()
F= femaleAnaitwa Diana Edward Lukumay hapo kwenye matokeo ni Diana F Lukumay
Hahaha...hiyo janja yako tulishaifanya tukiwa std 3UNAMAKENGEZA MKUU
Hujanigusa
Niguse basi...
Kuja pande hii ya Mombasa nkuguse.
Mkuu nawewe ni msukuma?baada ya kumgalagaza mmasai kwenda ikulu sasa tumeamua tuwafute machozi na hicho ki-ist
2011 kiranyi secondaryamemaliza lini shule?
miaka 18 waongo km ndo hvyo..2011 kiranyi secondary