hawa startv mitambo yao mibovu sana yaan kwann wasingewapa azam yaan azam na itv wanaonesha vizur sana ,,mfano tu ukiwa waangalia bunge azamtv ..tbc..startv azam unakuta wanaonesha vzur sana ila hawa wengne cjui ni chama kinawacostPole shosti hzi TVs sijui zinapigia CMU hyo event maana quality yake
Hahaaaa!! Muende 'lock city'Kila muda twende sijui waende wapi!
Yani star TV ni jipu bora clouds kidogohawa startv mitambo yao mibovu sana yaan kwann wasingewapa azam yaan azam na itv wanaonesha vizur sana ,,mfano tu ukiwa waangalia bunge azamtv ..tbc..startv azam unakuta wanaonesha vzur sana ila hawa wengne cjui ni chama kinawacost
Wameshindwa hata kuweka screen zile zinazowatambulishaga!! Au ndio madai yao upekee[emoji134]Wapi cool chataaaaaa watu wote tuseme oyooooooo
Jamani kwa uimbaji huo sidhani kama atapata mdhamini
Yangu machoduuh mavaz haya
clouds fmLinaonyeshwa chanel gani mkuu!!!??
Tusubiri tujionee mambo ya hapa kazi tu hakuna kuremba kabisaaa[emoji1]Wameshindwa hata kuweka screen zile zinazowatambulishaga!! Au ndio madai yao upekee[emoji134]
Leo ndio leo lile shindano la Sitti Mtemvu linafanyika kwa ndugu za Baba jeeska Mwanza...
Kituko ni Clouds kujigamba kuonyesha live kumbe hawana uwezo huo hadi sasa wanapiga tu mamziki....Mambo mengine clouds media muwe mnakubari kushindwa hapo startv , azam tv au ippmedia wangeonyesha vizuri tu ila kwa kiherehere chenu mmetuharibia shughuli leo....Au ndo mnajipendekeza kwenye birthday ya Baba Jeeeska ? Mmetia aibu Leo
Mliopo Mwanza tupeni ma updates clouds wameshindwa kututendea haki
Updates
Warembo wapo katika dance ya ufunguzi , kuna wengine wanapatia steps wengine wanaenda tofauti ila wamependeza sana