Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Pole shosti hzi TVs sijui zinapigia CMU hyo event maana quality yake
hawa startv mitambo yao mibovu sana yaan kwann wasingewapa azam yaan azam na itv wanaonesha vizur sana ,,mfano tu ukiwa waangalia bunge azamtv ..tbc..startv azam unakuta wanaonesha vzur sana ila hawa wengne cjui ni chama kinawacost
 
hawajajipanga hawa na shindano lao akipatikana mshindi lazma atakuwa kapangwa
 
Leo ndio leo lile shindano la Sitti Mtemvu linafanyika kwa ndugu za Baba jeeska Mwanza...

Kituko ni Clouds kujigamba kuonyesha live kumbe hawana uwezo huo hadi sasa wanapiga tu mamziki....Mambo mengine clouds media muwe mnakubari kushindwa hapo startv , azam tv au ippmedia wangeonyesha vizuri tu ila kwa kiherehere chenu mmetuharibia shughuli leo....Au ndo mnajipendekeza kwenye birthday ya Baba Jeeeska ? Mmetia aibu Leo

Mliopo Mwanza tupeni ma updates clouds wameshindwa kututendea haki

Updates

Warembo wapo katika dance ya ufunguzi , kuna wengine wanapatia steps wengine wanaenda tofauti ila wamependeza sana

Ukiweka update uweke na muda.

Pia labda clouds hawakuonyesha sababu pesa isingeingia waliyotaka au huko palipwaya kitu kufikia standards zao.

Ila kuna mtu kaandika humu kuwa inaboa au?
 
Back
Top Bottom