Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

jokate kapendeza sana ingawa startv siwaamin kama ni original ninayemjuaa
 
Kidoti kakataa kuingia hadi mwimbo wa Kiba upigwe, chezea kusema Hashimu kwa twitter anavyompenda ha ha haaaaa lazima ajaribu
 
Aisee hii kitu inaboa mpaka kinyaa kuanzia MCS, setting yaani mbona mmeamua kutudhalilisha sisi WASUKUMA jamanii. Mbona mnataka tuongee ovyo siku hii muhimu kwa taifa letu hili hatutalivumilia. KaribuNi kekI wasukuma wenzangu.
Siku iyo muhimu? Hii ya kuwaanika wadada Wa Watu na vipichu
[emoji15] [emoji15]
 
Hivi tukiwaitaga wa mikoani mnaonaga kama watu wa Dar tuna dharau nadhani leo ndio mtajuwa kwamba hakunaga kama Bongo Darisalama.
Hili shindano lingepelekwa Arusha lingekuwa la Kimataifa....Si unakumbuka Miss World Tourism Arusha waliwakilisha vizuri...

Tatizo Mwanza washamba sana...Mangosha haya yanatabu sana..

chongchung
FisadiKuu
 
Mashindano yamepoaaaaaa....waandaaji wameshindwa gata kuleta wasanii wakubwa kweli jamani?!
 
Reactions: MC7
Hivi huyu Kidoti kumbe naye kichwani ni bure kabisa, yani uzuri wote alionao leo kaja kama kinyago.

Hivi dada zangu mnapofanya make up huwa hamjitazami kwenye kioo? Kulikuwa na ulazima gani wa Kidoti kuvaa hiyo minywele ya maiti kichwani?
Am disappointed with Kidoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…