Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kama unatafutwa kurogwa papuchi ihamishiwe usoni wewe mletee huu uchuro wako Anko.Lundenga anyang'anywe kuandaa hili shindano aisee kashachoka hana jipya wawape watu wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unatafutwa kurogwa papuchi ihamishiwe usoni wewe mletee huu uchuro wako Anko.Lundenga anyang'anywe kuandaa hili shindano aisee kashachoka hana jipya wawape watu wengine.
Hahaaaa hamna cha kuhamishwa papuchi wala nini ludenga apishe wengine ili walete mageuziKama unatafutwa kurogwa papuchi ihamishiwe usoni wewe mletee huu uchuro wako Anko.
Yani hili shindano linahtaji udhamini na watu makini ili kulipa hadhi yake tena lisimamiwe na wizara na kutafta wadhamini, bila hivo lundenga hana jipyaSisi bado sana huo ndo ukweli japo huwa hatujikubali tu
Jecha na jaji lubuva wako kila corner aiseeMkuu ngoja tung'amue macho vizuri jecha sio mmoja wa majaji??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]MC mtu mzima sana alipaswa kuwa anafuatilia pensheni NSSF
Wa Dar kaingia kumechangamka mpk wa mwanza kajishtukia hahahahaaaaa,kweli wa Dar kboko mkuuHivi tukiwaitaga wa mikoani mnaonaga kama watu wa Dar tuna dharau nadhani leo ndio mtajuwa kwamba hakunaga kama Bongo Darisalama.
Yaani wameniboa,mwendo wa bukta na kikoti kwa juuSikuhizi vazi la ufukweni hakuna vyupi
Siku iyo muhimu? Hii ya kuwaanika wadada Wa Watu na vipichuAisee hii kitu inaboa mpaka kinyaa kuanzia MCS, setting yaani mbona mmeamua kutudhalilisha sisi WASUKUMA jamanii. Mbona mnataka tuongee ovyo siku hii muhimu kwa taifa letu hili hatutalivumilia. KaribuNi kekI wasukuma wenzangu.
Hili shindano lingepelekwa Arusha lingekuwa la Kimataifa....Si unakumbuka Miss World Tourism Arusha waliwakilisha vizuri...Hivi tukiwaitaga wa mikoani mnaonaga kama watu wa Dar tuna dharau nadhani leo ndio mtajuwa kwamba hakunaga kama Bongo Darisalama.
Yaani wameniboa,mwendo wa bukta na kikoti kwa juu