Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

HIVI MISS TANZANIA COMMITTEE KWANINI WAMEWAWEKA UNDERGROUNDS SASA NDO WATUMBUIZE..KHAAAA!!!
 
Aisee hii kitu inaboa mpaka kinyaa kuanzia MCS, setting yaani mbona mmeamua kutudhalilisha sisi WASUKUMA jamanii. Mbona mnataka tuongee ovyo siku hii muhimu kwa taifa letu hili hatutalivumilia. KaribuNi kekI wasukuma wenzangu.

Unataka iandaliwe kwa ' mbwembwe ' zote kama ulivyozoea huko nyuma kisha Kesho asubuhi tu ' invoice ' ya TRA iwafikie kwa ' kudai ' chao? Mkuu Watu ' wamejiongeza ' hapo ' kimtindo '.
 
Teh hawa wasanii wamewaokoa wapi kama bongo star search bhana anko lundenga kakimbia gharama ya kuwalipa hata wakina barnaba
Lundenga anyang'anywe kuandaa hili shindano aisee kashachoka hana jipya wawape watu wengine.
 
Back
Top Bottom