dekitambi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 663
- 762
Mwabhe'ja sanaKweli Mwanza bado wapo katika majaribio......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwabhe'ja sanaKweli Mwanza bado wapo katika majaribio......
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wangemueka mpoki au zembwelaMC mtu mzima sana alipaswa kuwa anafuatilia pensheni NSSF
Sisi bado sana huo ndo ukweli japo huwa hatujikubali tuWametia aibu aisee Mpaka sasa shindano halijaanza ludenga na kampuni yake wajichunguze, star TV wenyewe hzo picha aibu tupu.
Aisee hii kitu inaboa mpaka kinyaa kuanzia MCS, setting yaani mbona mmeamua kutudhalilisha sisi WASUKUMA jamanii. Mbona mnataka tuongee ovyo siku hii muhimu kwa taifa letu hili hatutalivumilia. KaribuNi kekI wasukuma wenzangu.
Mkuu ngoja tung'amue macho vizuri jecha sio mmoja wa majaji??Mbna mamiss wote wanatokea geita tena chato kunani hko
Huwezi kuwa intelligent kwa kula mapanki.Karibuni mwanza home of intelligent people
Lundenga anyang'anywe kuandaa hili shindano aisee kashachoka hana jipya wawape watu wengine.Teh hawa wasanii wamewaokoa wapi kama bongo star search bhana anko lundenga kakimbia gharama ya kuwalipa hata wakina barnaba
Yani had wapaka make up hamna kitu.Hivi tukiwaitaga wa mikoani mnaonaga kama watu wa Dar tuna dharau nadhani leo ndio mtajuwa kwamba hakunaga kama Bongo Darisalama.