hakuna mtu anayeshadadia kitu hapa....issue ni kuhusu uraia wa huyo sijui miss wa pili, mimi simjui ila watu wanasema kutokana na jina lake lilivyoMa'nina zenu haya yanatusaidia nini kama Taifa? Hata tusipokuwa na miss tunapoteza nini? Kwenda zenu huko mnashadadia mambo ya kipu.mba.vu mnaacha yenye tija!!
Kumbuka kuna aina3 za uraia, wakuzaliwa,wakurithi na wakuandikisha. So hapo hamna tatizo
hakuna mtu anayeshadadia kitu hapa....issue ni kuhusu uraia wa huyo sijui miss wa pili, mimi simjui ila watu wanasema kutokana na jina lake lilivyo
limekaa kinyarwanda
Aliwezaje kuwa Jenerali kama si mtanzania? huyo ni mhaya acheni kuchimbachimba sana, hata kama.baba yake ni mnyarwanda kama alizaliwa tz basi yy binti ni mtz.
hakuna mtu anayeshadadia kitu hapa....issue ni kuhusu uraia wa huyo sijui miss wa pili, mimi simjui ila watu wanasema kutokana na jina lake lilivyo
limekaa kinyarwanda
Mnataka ishu za tembo na.dawa zipoteee
wanataka kuizima kimya kimya
kwa hiyo wanyarwanda na warundi wote waliozaliwa kipingi cha mauhaji ya kimbali ni watanzania kisa wamezaliwa tanzania???????????
How come vimezaliwa vingi vya utamu
Kumbe ni mpenzi wa sitti na hasimu wa Lilian!!!!Hata haujielewi, sitti ulikua unamtetea leo unamponda huyu
Huyu lilian ni MNYARWANDA original.. Ndugu yake na Kagame