Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''

Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''

Ma'nina zenu haya yanatusaidia nini kama Taifa? Hata tusipokuwa na miss tunapoteza nini? Kwenda zenu huko mnashadadia mambo ya kipu.mba.vu mnaacha yenye tija!!
hakuna mtu anayeshadadia kitu hapa....issue ni kuhusu uraia wa huyo sijui miss wa pili, mimi simjui ila watu wanasema kutokana na jina lake lilivyo
limekaa kinyarwanda
 
Kumbuka kuna aina3 za uraia, wakuzaliwa,wakurithi na wakuandikisha. So hapo hamna tatizo

katiba inaweka mipaka raia wa kuandikishwa kuna haki fulani fulani hawezi kuzipata
 
Kujiuzulu isije ikawa mbinu ya waandaaji kuficha ukweli kwamba watu hawatajua hatima ya hili jambo

1. upelelezi wa kina uendelee kuhusu hili jambo na mwisho matokeo yatangazwe hadharani na kama kuna watakaoonekana na hatia basi wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria.

2.Katika uchunguzi wao tunatakiwa tujue majibu ya haya maswali (a) J e ! SITTI alidanganya umri kama jibu ndio umri wake halali ni upi? (b) je! SITTI ana mtoto?

Kama majibu ya maswali hayo yatajibiwa affirmatively hatua kali za kishweria zichukuliwe kwani kuna makosa ya jinai hapo, wapelekwe mahakamani na wakipatikana na hatia basi adhabu kali kwa mujibu wa sheria itolewe ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye mpango wa kudanganya taifa na dunia kw ujumla.
 
Kitu chochote kikingiliwa na mtu mwenye uhusiano na chama cha mafsadi huwa balaa baada ya muda
 
hakuna mtu anayeshadadia kitu hapa....issue ni kuhusu uraia wa huyo sijui miss wa pili, mimi simjui ila watu wanasema kutokana na jina lake lilivyo
limekaa kinyarwanda

Mkuu kuna wakina Patel,Mįchael,John,Abdallah,Amina,majina yote hayo sio ya kitanzania,jina halimfanyi mtu kutokuwa raia.
 
Aliwezaje kuwa Jenerali kama si mtanzania? huyo ni mhaya acheni kuchimbachimba sana, hata kama.baba yake ni mnyarwanda kama alizaliwa tz basi yy binti ni mtz.

Wakudaa tuuu haooo baba mwanamwana ana ujenerali gan Mdingi wawatu na Prado yake old modeli ni muhaya wa bukoba fullu hata kiswahil hakijakaa swaia badooo japo yuko mjin miaka ming
 
mbona kuna viongozi wengi majina yao yamekaa kinyarwanda na ni watanzania
 
Acheni upuuzi hapa Oluoch wapo Kenya na Tanzania,Buberwa wapo Tanzania na Rwanda ,Karugila wapo Tanzania,Rwanda,Uganda.Hii mipaka yaNchi zetu iliwekwa na Wakoloni.Viongozi wetu wa kijadi Walikuwa na miliki zao ambazo zipo pande zote,Mfano Bunyoro Kitala, Chifu Rumanyika.
 
Ma'nina zenu haya yanatusaidia nini kama Taifa? Hata tusipokuwa na miss tunapoteza nini? Kwenda zenu huko mnashadadia mambo ya kipu.mba.vu mnaacha yenye tija!! Sasa hivi habari ya mjini ni Ndege ya rais Wa China kutumika kysafirisha nyara za serikali! Membe ajiuzulu!!
 
hakuna mtu anayeshadadia kitu hapa....issue ni kuhusu uraia wa huyo sijui miss wa pili, mimi simjui ila watu wanasema kutokana na jina lake lilivyo
limekaa kinyarwanda

Hakuna raia halisi Wa nchi hii sisi wote tunaopiga kelele humu siyo wazawa Wa nchi hii, iwe Tanzania au Tanganyika? Hapa sisi wote ni wakuja! Wenye nchi halisi ni Wahadzabe, Wasandawe na Watindiga! Kama issue ni majina mbona tulimwacha Mungai akashika uwaziri? Sembuse miss Tanzania?!! Tibaijuka mbona kashika wizara wakati jina ni la Kiganda? Sembuse miss Tanzania!!?? Tuache hizo kelele za ngeseki!!
 
Hapa ndiyo unaona ubaya wa kudanganya watu wote wakati wote,
 
Nyie jadilianeni na mfike mwisho, ila ripoti ya Escrow, swala la tembo kuisha kwa ujangili, na bandari kujichotea hela sijasahausijasahau.
 
mimi ili mradi bibi bomba kavua taji kwangu ni raaaaaha hata apewe asha boke sina tatizo nlikua naumizwa sana na nguvu ya rushwa na uchama flani kuingilia tasnia nyngine
 
Back
Top Bottom