Mwita25
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 3,831
- 1,169

Sbbu ya msingi?

Sababu za msingi hapa www.ampland.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Sbbu ya msingi?
sio wanzanzibar bali watanzania wote wasitumie vodacom...maana waliopoteza maisha sio wanzanzibari ni watanzania....tena wengi kutoka bara ambako meli ilianzaniadah..jirani ana msiba we unafanya party!...wazenji msitumie line za voda,maana wao ndio wanampa hela anko lundenga...na kn mtu toka wizarani/serikalini basi hy shujaa
Hawa mamiss kila mtu anasema hobby yake ni kuogelea...

Duh!!
Hawa mamiss kila mtu anasema hobby yake ni kuogelea...
Duh!!

Nani anaelekea kushinda, wengine tupo porini
Mambo bado kabisa..ndio kwanza round ya kwanza

Nani anaelekea kushinda, wengine tupo porini

Hahahah..

Masaa machache tu,,
kuna watu ambao ndugu na jamaa zao hufariki kwa ajali za mabasi lakini huwa zinatumwa salamu za rambirambi na shughuli huendelea kama kawaida, je wao wanajisikiaje? ndugu na jamaa zao waliofariki hawastahili kuombolezwa na taifa? kwa kuwa ajali ya aina ni nadra kutokea na imesababisha maisha ya watu wengi kupotea inastahili maombolezo tofauti, lakini kuhusu shughuli zipi zisimame kwa sababu ya msiba huu hapo itatokana na mtazamo wa mtu binafsi au taasisi husika hususan jinsi wanavyochukulia uzito wa shughul yao.kitendo cha kuendelea kuwa na mashindano ya vodacom miss TZ,ni wazi kuwa Wao si wamoja katika muungano huu,Taifa linakabliwa na simanzi ya ajari ya Meri wakati wengine wanashindana nani Ana SURA NZURI.Lundenga wewe Ni Dini gani.
Mwenyewe nimetoka huko jion hii!Endeleeni kunineletea habari mi nipo Igunga na shemeji yenu hapa tunakula bia kwa kwenda mbele.

Endeleeni kunineletea habari mi nipo Igunga na shemeji yenu hapa tunakula bia kwa kwenda mbele.
Haya mambo hayajui kabisa! Yupo Igunga anaipiga tafu CCM!hahaha,huyo jamaa sijui network inakamata ya safaricom! yuko so disconnected!

kitendo cha kuendelea kuwa na mashindano ya vodacom miss TZ,ni wazi kuwa Wao si wamoja katika muungano huu,Taifa linakabliwa na simanzi ya ajari ya Meri wakati wengine wanashindana nani Ana SURA NZURI.Lundenga wewe Ni Dini gani.

LUNDENGA hana dini ni kafiri,cha ajabu siku akifariki utashangaa sheikh wa mkoa anaongoza swala ya jeneza!uislam unaharamisha matendo ya kuwaweka wanawake uchi lakini lundenga kaziba masikio na macho