Ha ha ha ha Arushaone usije ukapelekwa Kaloleni maana muda wa kuja kukuona sina.
mie nakumiss hadi vitamin z inakauka mwilini mwangu. Mzma wewe?
Dah pole sana!Erickb52 niko nimejaa tele! Wapi leo? Dose namaliza leo best.
Dah pole sana!
Mi hayo mambo kwa sasa niko likizo isiyo na kikomo...! Amyner wangu karudi chimbo anahitaji uwepo wangu wenye utulivu so jaribu kucheck na Vin Diesel au Filipo !
Nawaangalia tu manoah na Zion Daughter mnavyoparurana hapa! Mnapaswa kupatana kama nyanya na kitunguu! Madame B Erickb52 na Kipipi njooni muwapatanishe.
Duuuuuuuuu!, Ukweli unauuumaaaaaa!
wach_FrancisWachana naye Ziondaughter,ukweli unamuuuma!
wach_Francis
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu???. This is more than serious aisee. People are too bad.
Kwaherini wanachitchat sitaki ugomvi..Nitarudi Mungu akipenda..
Nimekuwa busy na kazi marafiki ....naomba kuchukua fursa hii kumtambulisha Richi womani kama ndiye mke wangu hapa JF nawatakia weekend njema wote! !!
Dada yangu marejesho hajambo? ??my regards to her tafadhali
Mi ni striker wa ukweli kaka
Oya manoah mi van persie.....