Miss u we mdada na unajijua sina haja ya kusema jina

Miss u we mdada na unajijua sina haja ya kusema jina

Asprin = AK47!! haya mie simoooooo msiseme sikutoa WARNING!
Mhm hivi cacico mambo yenyewe ndo haya huyu Asprin ujawahi kumwambia kama mimi shost tu........hamna nyongeza?au nikanunue magruneti niyaweke kwenye mifuko yangu ya kanzi tuone kama Alexander Kalashnikov 47 zitafanya kazi?ila kaka yangu umefikia huko kwani unawasiwasi na mamisapu yani mimi kumjali imeisha kuwa issue??
 
Mhm hivi cacico mambo yenyewe ndo haya i.huyu Asprin ujawahi kumwambia kama mimi shost tu........hamna nyongeza?au nikanunue magruneti niyaweke kwenye mifuko yangu ya kanzi tuone kama Alexander Kalashnikov 47 zitafanya kazi?ila kaka yangu umefikia huko kwani unawasiwasi na mamisapu yani mimi kumjali imeisha kuwa issue??
AK47 sasa tunapiga rapid au semi auto? ?
 
Sasa my network sucks! !!nipo out of city nimtaje nisimtaje eventually? ??
 
Back
Top Bottom